True story: Mkuu wa shule alininajisi!

True story: Mkuu wa shule alininajisi!

kweli ulivosema hawasemi yoote utabaki kulaumu lakini sio rahisi

lakini hili na kufanywa mwenzanu ni kubwa sana lazima mtoto aliseme, labda kama mlikuwa mnaenjoy kiasi fulani wa vile mlikua hamjijui; sasa umejijua thamani yako na kugundua kuwa ilikuwa sivyo.

Kama wadau walivyoomba kujua jina la hiyo shule, ingekuwa vyema na ungeweza pata msaada na mawazo zaidi.
 
Fafanua zaidi kaka,

Walifanywa/fanyiwa nini??

Babu DC

...alikuwa 'anawafanya matusi' ofisini kwake, na waliokataa tuliwashuhudia wakichimbishwa visiki na kuchimbishwa mashimo ...adhabu zilizodumu hata wiki nzima...na wala haikuwa siri matendo yake pale shuleni.

miaka imepita mbu ingawa sio mingi mi huo muda sina pia wenzangu nitawaorganize vp?

...usijilazimishe, lakini mpaka kufikia leo hii 24/feb/2012 umeupandisha uzi huu hewani ni kithibitisho tosha psychologically umeathirika na hiyo experience...hata ukisema huna muda, jinamilizi hili litaendelea kukuandama kila wakati na popote utaposoma "mwanafunzi kadhalilishwa na mwalimu wake.."

kwa ushahidi gani? what if mwalimu alishaacha hiyo kitu, alishastaafu etc.

Ninaona ni kuwa kuna gap kubwa sana katika mawasiliano kati ya wazazi/walezi na watoto. Bila hivyo huyu mwalimu angeshashighulikiwa mapema mno.

Kujifunza kuwa karibu na watoto wetu kimawasiliano, tuwafanye marafiki zetu, tuwe wazi kwao na watakuwa wazi kwetu.

...kosa ni kosa -halifutiki! hata kama lilifanyika miaka 40, 30, 20, au 10 iliyopita,
muhimu ni kupatikana ushahidi wa kutosha kumfungulia mashtaka
na kuhukumiwa kufuatia testimony [of witnesses]
...
 
...alikuwa 'anawafanya matusi' ofisini kwake, na waliokataa tuliwashuhudia wakichimbishwa visiki na kuchimbishwa mashimo ...adhabu zilizodumu hata wiki nzima...na wala haikuwa siri matendo yake pale shuleni.

...usijilazimishe, lakini mpaka kufikia leo hii 24/feb/2012 umeupandisha uzi huu hewani ni kithibitisho tosha psychologically umeathirika na hiyo experience...hata ukisema huna muda, jinamilizi hili litaendelea kukuandama kila wakati na popote utaposoma "mwanafunzi kadhalilishwa na mwalimu wake.."

...kosa ni kosa -halifutiki! hata kama lilifanyika miaka 40, 30, 20, au 10 iliyopita,
muhimu ni kupatikana ushahidi wa kutosha kumfungulia mashtaka
na kuhukumiwa kufuatia testimony [of witnesses]
...
unajua gharama za kesi wewe?
 
sijawai kusikia mafuzi ya wki tatu yakinuka.hayo ni ya kwako kamuone daktari.ni ugonjwa huo
FYI sijasema yananuka nimesema unajisikia unanuka...yani sio lazima unuke...Afu kwenye usafi sio lazima mpaa unuke jiwahi kabla hujanuka, na anaye sema anamavuzi yasio nuka nani basi huyo atakuwa malaika si binadamu tena :biggrin:
 
Nafasi ya kushitaki bado ipo. Unaweza kujiorganize na wenzio mkaenda mahakamani. Tatizo wanawake wengi huwa wanashindwa kutoa ushahidi wa mambo ya kunyanyaswa kijinsia. Vunja ukimya, nenda mahakani ili sheria ichukue mkondo wake na iwe fundisho kwa mafataki.
 
unajua gharama za kesi wewe?

Smile,

tatizo ni gharama za kesi au kuna kitu sielewi?

Na je ukiambiwa kuwa utapewa huduma za kisheria bure, uko tayari kututafutia wenzio kama 3 hivi tufungue kesi ya udhalilishaji wa watoto (minors) mliofanyiwa na headmaster wenu enzi hizo?

Babu DC
 
utacheka saaana mwaka huu.
Yeah itabidi niendelee tu kucheka, sijui next thread utaleta yakusema; ulikuwa unanyonywa mdomo na matiti kwa sababu walikuwa wanakupima malaria, na nashaka sana itakuwa na yenyewe ni ture story pia :biggrin:
 
unajua gharama za kesi wewe?

...Ooooppppsss, pole bana....nilikuwa nauchangia uzi huu kwa nia nzuri tu za kuelimishana,
samahani sana kwa kukukwaza iwapo lolote nililochangia limekuudhi.

kwa wale wenye nia ya kujifunza mambo haya na msaada wa kisheria, mwaweza jikumbusha kesi
za mzee Maumba, babu Seya, na nyinginezo mtandaoni eg; Court Cases

siku njema.
 
Ahsante sana SL,

Ujumbe wa bibi nitaufikisha,

Mie sina la kusema kwa sababu story inatia uchungu sana...Na bora iwe ya kutungwa....

Hata hivyo ngoja tusubiri wadau wengine waliopita sekondari watupe ushuhuda wao!

Babu DC
Thanks and be blessed babu DC.

Nifikishie na salamu pia!
 
...ooooppppsss, pole bana....nilikuwa nauchangia uzi huu kwa nia nzuri tu za kuelimishana,
samahani sana kwa kukukwaza iwapo lolote nililochangia limekuudhi.

Kwa wale wenye nia ya kujifunza mambo haya na msaada wa kisheria, mwaweza jikumbusha kesi
za mzee maumba, babu seya, na nyinginezo mtandaoni eg; court cases

siku njema.
sijamaanisha vibaya mbu sory kama umenielewa vibaya my dear friend mmmh.nchi hii corruption ipo juu besides muda umepita
 
Yeah itabidi niendelee tu kucheka, sijui next thread utaleta yakusema; ulikuwa unanyonywa mdomo na matiti kwa sababu walikuwa wanakupima malaria, na nashaka sana itakuwa na yenyewe ni ture story pia :biggrin:
Tehe! Fazaa we ni noma!
 
sijamaanisha vibaya mbu sory kama umenielewa vibaya my dear friend mmmh.nchi hii corruption ipo juu besides muda umepita

...usijali, corruption nayo ni jinamizi jingine.
 
Back
Top Bottom