True story: Mkuu wa shule alininajisi!

True story: Mkuu wa shule alininajisi!

What do you mean?
Worry not, nothing serious, just chit chatting. Just nilikusudia kuuliza tu ile raising expectations ulioandika si ni sehemu ambayo haina madhara katika daraja za kuelewana? (speaking generally).

Hili dikshineri langu la Zimbabwe linanipeleka mchomo kweli aisee!
Na huyu anko wako na anti wako mbona hawaonekani? au wako bize wanakutaftia ka cousin kapya?
 
Hahahahaha, hapo nimecheka kweli,
Nimeongea na Anti, amesema harudi sasa hivi! lol
Raisiing expectation sio vya syllabus.
kwani PM watu wanaongea vya syllabus? lol
 
hehehehe mimi underage bana sjawahi kwenda PM sjui wanakuwa wanaongelea nini labda tumuulizie husninyo na bishanga.
Kama anti harudi unaonaje tukacheza hide and seek? lol
 
Whaaaaat?? :shock:
We bodyguard naona kazi imekushinda sasa
Namwambia Uncle akubadilishe!
 
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje

wanazimia kutokana nini?
 
Sasa wapi nilipokosea au na wewe unataka kusema nimeomba pipi kwako.

Huoni ulipokosea au unafanya makusudi tu?? Sio fair kumlabel mwenzenu kwa mambo ambayo yalikwisha jipitia away.....huo ni unyanyapaa kabisa.......be reasonable in what you comment!! Hukatazwi kupinga/kuchallenge, atleast onyesha basi at which point do you stand.....sio kukazania kunyoa kunyoa...ili iweje sasa?? Alafu unapomwambia "una akili kweli wewe".......una maanisha nini kama sio kum-abuse tu? Labda wewe umeona akili zako zimo ngapi na zikoje hata ukalinganisha na kupata guts za kumwambia hivyo mwenzio?? Do you think unaongea na mwanao?.......JISACHI!!!
 
Wewe unapo niuliza mimi una akili kweli wewe, itakuwa umenitukana? Hapo unauliza swali sidhani kama unatukana ningesama hana akili hapo sawa.

Wewe naona unatafuta tu njia moja au nyingine yakunifundisha lugha, ukifatilia sana wewe mwenyewe hujui kutofautisha kati ya vile na vile.
 
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
Kwa nn siku zote hizo usiniambie? kusudi na mm nataka kuwapima, mwl. na Dr. wake. Haya hata sasa hujachelewa sana, ni pm jina lake na shule anayopimia.
 
Yeah itabidi niendelee tu kucheka, sijui next thread utaleta yakusema; ulikuwa unanyonywa mdomo na matiti kwa sababu walikuwa wanakupima malaria, na nashaka sana itakuwa na yenyewe ni ture story pia :biggrin:

Hahahahahahaha you are good at probing: yaani wewe ni good interrogator, loose ends zote unazi expose, I like it. Kiukweli mpaka hatua hii kwa maoni yangu umeweza kuibua mashaka ya kutosha juu ya story hii: kimsingi haina ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom