Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
You are raising expectations... lolPM ukiitumia kwa wakati sahihi na mtu sahihi na malengo sahihi basi ina raha zake sana aisee. Dont try this at home kama hauko experienced. Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are raising expectations... lolPM ukiitumia kwa wakati sahihi na mtu sahihi na malengo sahihi basi ina raha zake sana aisee. Dont try this at home kama hauko experienced. Lol
Deskmate! But I guess am still playing within a syllabus territory. Right?You are raising expectations... lol
What do you mean?Deskmate! But I guess am still playing within a syllabus territory. Right?
Worry not, nothing serious, just chit chatting. Just nilikusudia kuuliza tu ile raising expectations ulioandika si ni sehemu ambayo haina madhara katika daraja za kuelewana? (speaking generally).What do you mean?
Hahahahaha, hapo nimecheka kweli,Worry not, nothing serious, just chit chatting. Just nilikusudia kuuliza tu ile raising expectations ulioandika si ni sehemu ambayo haina madhara katika daraja za kuelewana? (speaking generally).
Hili dikshineri langu la Zimbabwe linanipeleka mchomo kweli aisee!
Na huyu anko wako na anti wako mbona hawaonekani? au wako bize wanakutaftia ka cousin kapya?
hehehehe mimi underage bana sjawahi kwenda PM sjui wanakuwa wanaongelea nini labda tumuulizie husninyo na bishanga.Hahahahaha, hapo nimecheka kweli,
Nimeongea na Anti, amesema harudi sasa hivi! lol
Raisiing expectation sio vya syllabus.
kwani PM watu wanaongea vya syllabus? lol
Whaaaaat?? :shock:hehehehe mimi underage bana sjawahi kwenda PM sjui wanakuwa wanaongelea nini labda tumuulizie husninyo na bishanga.
Kama anti harudi unaonaje tukacheza hide and seek? lol
Najaribu kuvoluntia ili usjiskie boring, si unajua anti hayupo?Whaaaaat?? :shock:
We bodyguard naona kazi imekushinda sasa
Namwambia Uncle akubadilishe!
Kwa nini tusicheze karata? Why that particular game Deskmate?Najaribu kuvoluntia ili usjiskie boring, si unajua anti hayupo?
Karata haraam deskmate! karata asili yake ni mchezo wa iblis maluun.Kwa nini tusicheze karata? Why that particular game Deskmate?
kwa kosa gani mbu nimfungulie mashtaka sasa hvi.maana nikikumbuka walivokuwa wanatugeuza geuza roho inauma sana
Nani? Ze finest? kama Ze finest si nyepes nyepes zinasema analo tayari au unataka umpatie twin bushakuna mtu nitamtoa busha hapa
shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
Sasa wapi nilipokosea au na wewe unataka kusema nimeomba pipi kwako.
Mwalim wa kiarabu naskia kapewa redcard...:gossip:Karata haraam deskmate! karata asili yake ni mchezo wa iblis maluun.
Hivi mwalim wetu wa kiarabu amekimbia kweli?
Wewe unapo niuliza mimi una akili kweli wewe, itakuwa umenitukana? Hapo unauliza swali sidhani kama unatukana ningesama hana akili hapo sawa.Huoni ulipokosea au unafanya makusudi tu?? Sio fair kumlabel mwenzenu kwa mambo ambayo yalikwisha jipitia away.....huo ni unyanyapaa kabisa.......be reasonable in what you comment!! Hukatazwi kupinga/kuchallenge, atleast onyesha basi at which point do you stand.....sio kukazania kunyoa kunyoa...ili iweje sasa?? Alafu unapomwambia "una akili kweli wewe".......una maanisha nini kama sio kum-abuse tu? Labda wewe umeona akili zako zimo ngapi na zikoje hata ukalinganisha na kupata guts za kumwambia hivyo mwenzio?? Do you think unaongea na mwanao?.......JISACHI!!!
Kwa nn siku zote hizo usiniambie? kusudi na mm nataka kuwapima, mwl. na Dr. wake. Haya hata sasa hujachelewa sana, ni pm jina lake na shule anayopimia.shuleni kulikuwa na utaratibu wa kupimwa mimba kila tufunguapo shule baada ya wiki mbili.ila upimaji wake daaah huwa nautafakari sana
mkuu wa shule alikuwa wa kiume,daktari wa kiume even tulikuwa na matron hakuruhusiwa kuingia
chumba cha kupimia alikuwa anaingia headmaster na dokta wake
jinsi ya kupima,tulikuwa tunavuliwa nguo zote
dokta na mkuu wa shule wanakushika shika tumbo na matiti wanadai wanapima cancer
mkuu wa shule sometimes alikuwa anasema ulale na mgongo apime na homa ya uti wa mgongo
hii ilikuwa fair kweli? walikuwa wanakushika kweli hadi wadada wengine walikuwa wanazimia zoezi linaenda hata wiki
siku hzi sijui wanapimaje
Yeah itabidi niendelee tu kucheka, sijui next thread utaleta yakusema; ulikuwa unanyonywa mdomo na matiti kwa sababu walikuwa wanakupima malaria, na nashaka sana itakuwa na yenyewe ni ture story pia :biggrin: