True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

dah..... pole asee..

leo kila uzi wa jf naokutana nao ni majonzi tu kha 😒😒😒😒😒😒😒😒😒
 
Mimi yalinikuta ndugu,wewe kula maisha tuupo salama kabisa PEP ni zaidi ua uchawi kwa mzungu napia uliwahi kuzitumia japo wanandai ukila tigo risk nikubwa zaidi
 
Asante sana kwa link imenipa mwangaza mno kuelewa
 
Mimi yalinikuta ndugu,wewe kula maisha tuupo salama kabisa PEP ni zaidi ua uchawi kwa mzungu napia uliwahi kuzitumia japo wanandai ukila tigo risk nikubwa zaidi
Asante sana kiongozi, najitahidi kuamini hivyo .asante kwa neno la faraja
 
achana nae darling ni wivu tu unamaumbua huyo🀣
 
Achana nae Asikukaushe kizaz huyo ushindwe kumzalia baba tamu wako buree,🀣😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…