Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
naomba namba za Janeth mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa napewa order tu! Then kuna jamaa anakuja kuwachukua baada ya miezi mitatu wanapokuwa kidogo...Hao mbwa unauzia pande zipi?
Uko pande zipi wewe? hujib swalHuwa napewa order tu! Then kuna jamaa anakuja kuwachukua baada ya miezi mitatu wanapokuwa kidogo...
Umeuliza naishi wapi au ninauzia wapi hao mbwa!Uko pande zipi wewe? hujib swal
Hao mbwa naulizia unawafugia wap. Ngoja nikij andaa mazingira nitakuungishaUmeuliza naishi wapi au ninauzia wapi hao mbwa!
Mimi naishi Tabata kinyerezi!
Asante sana kwa link imenipa mwangaza mno kuelewaSir.
Hatari nyingi zipo midomoni na vichwani mwa watu tu.
Siku nimegundua kwamba ni asilimia ishirini tu ya nyoka ndio wenye sumu nilishangaa sana. Da'Vinci atakusaidia zaidi. Ni kwambaa kati ya nyoka kumi ni wawili tu ndo wenye sumu kweli!!
Kuhusu risk za UKIMWI ni kweli, almost sure ni kuongezewa damu tu. Ila nyingine zote tafiti zinasema vingine
![]()
What Are the Chances of Getting HIV? [2021 Update] | INSTI
Learn about the chances of getting HIV from one encounter, different exposure risks and risks by demographicswww.insti.com
Asante sana kiongozi, najitahidi kuamini hivyo .asante kwa neno la farajaMimi yalinikuta ndugu,wewe kula maisha tuupo salama kabisa PEP ni zaidi ua uchawi kwa mzungu napia uliwahi kuzitumia japo wanandai ukila tigo risk nikubwa zaidi
Nakuona mama tamu ukielekea kanisani kwenye mafunzo ya ndoa ila baba tamu simuoni🤣🤩Kwangu hawezi kuharibuuu, nakupendaaa mchaga wanguu, afu wale mbwa watoto nimewamic kuwaona tenaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dah..... pole asee..
leo kila uzi wa jf naokutana nao ni majonzi tu kha 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Nimekutumia inbox 🤣🤣naomba namba za Janeth mkuu
Poa poa utaniambia...Hao mbwa naulizia unawafugia wap. Ngoja nikij andaa mazingira nitakuungisha
Imebidi nicheke tu 🤣🤣🙏Umalaya wako unamlaumu binti
achana nae darling ni wivu tu unamaumbua huyo🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo muda unaotumia kuni sihi mie ni bora ungetumia kuwaza mambo ya muhimu na ya maana yanayokuhusu wee binafsiii.
Vipi unanionea wivuu? Au unamtakaa wee huyu baba tamuuu wanguu? Stress zako tafuta wa ku mpumzikia, mie sina nafasi hiyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo zinginee ni futuhi, afu leo cna mood ya kutaka kuchachuana na mtu.
Relaaaaaaxxxxx
Huu utani unafanana na ukweli😂😂😂😂 mi sipo 😂😂😂😂Nakuona mama tamu ukielekea kanisani kwenye mafunzo ya ndoa ila baba tamu simuoni🤣🤩
Achana nae Asikukaushe kizaz huyo ushindwe kumzalia baba tamu wako buree,🤣😘[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka hao watu wale anus yakoo wee? Km hawakutakiiii??
Badala huruma ujionee wee mwenyewee na uzao wako, unahangaika na wasio kuhusuuu.
Poleeee wee mtakatifuu uchwaraaaa, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
german shepherd price ikoje kaka?Yap! Hua nauza bei tofauti kulingana na aina mbwa unaehitaji..😁😁
Mdogo wa miezi mitatu hadi sita nauza laki tatu na nusu!german shepherd price ikoje kaka?