True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Mimi yalinikuta ndugu,wewe kula maisha tuupo salama kabisa PEP ni zaidi ua uchawi kwa mzungu napia uliwahi kuzitumia japo wanandai ukila tigo risk nikubwa zaidi
 
Sir.
Hatari nyingi zipo midomoni na vichwani mwa watu tu.

Siku nimegundua kwamba ni asilimia ishirini tu ya nyoka ndio wenye sumu nilishangaa sana. Da'Vinci atakusaidia zaidi. Ni kwambaa kati ya nyoka kumi ni wawili tu ndo wenye sumu kweli!!

Kuhusu risk za UKIMWI ni kweli, almost sure ni kuongezewa damu tu. Ila nyingine zote tafiti zinasema vingine
Asante sana kwa link imenipa mwangaza mno kuelewa
 
Mimi yalinikuta ndugu,wewe kula maisha tuupo salama kabisa PEP ni zaidi ua uchawi kwa mzungu napia uliwahi kuzitumia japo wanandai ukila tigo risk nikubwa zaidi
Asante sana kiongozi, najitahidi kuamini hivyo .asante kwa neno la faraja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo muda unaotumia kuni sihi mie ni bora ungetumia kuwaza mambo ya muhimu na ya maana yanayokuhusu wee binafsiii.

Vipi unanionea wivuu? Au unamtakaa wee huyu baba tamuuu wanguu? Stress zako tafuta wa ku mpumzikia, mie sina nafasi hiyoo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizo zinginee ni futuhi, afu leo cna mood ya kutaka kuchachuana na mtu.
Relaaaaaaxxxxx
achana nae darling ni wivu tu unamaumbua huyo🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unataka hao watu wale anus yakoo wee? Km hawakutakiiii??
Badala huruma ujionee wee mwenyewee na uzao wako, unahangaika na wasio kuhusuuu.

Poleeee wee mtakatifuu uchwaraaaa, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana nae Asikukaushe kizaz huyo ushindwe kumzalia baba tamu wako buree,🤣😘
 
Back
Top Bottom