True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

Broo ushapona acha wasiwasi wapo madaktar wana get contact na damu ya mtu mwenye vvu theatre kwenye surgeries damu inarukia machoni, then wana meza PEP na mambo yanakaa sawa.

Be happy ishi tu usiwaze
 
Nenda kapime wewe , uanze kutumia sembe , hii ishanikuta nouma Sana , nilikimbia ziwani kwenda kujiosha 😁, sku naenda kupimwa nulipitiliza kituo cha Afya badae nikarudi mdogo mdogo, Yule mpimaji akaniuliza endapo utakuta umeathirika utafanyeje , nikamjibu sjui nitakachofanya majibu yakitoka ndo nitakuwa na jibu sahihi... Sema Yule mpimaji naye alikuwa na tako la haja
Dahhh 🤣🤣🤣🤣
 
Uzi mrefu sana,punguza pia uwongo.Na kingine ni kwamba what you did sio ujanja,mwanamke angeweza kukuingiza kwenye shida sana ambayo ingekupotezea kila kitu.Be humble.
Sijakulazimisha kuusoma wote mkuu, sijakuambia nilichofanya ni ujanja, mambo yakuwa humble ni vipi tena!?, sijutii chochote nikichokifanya maana kilikuwa sahihi machoni pangu kwa kipindi kile...uwongo gani tena mkuu!? Mbona kama umepaniki!? Wewe ndio yule binti ama!?
 
Yqlinikuta na mimi hayo ila nilitumia kinga ,nilikunywa kwa siku 28na sikupata side efect nyingi nashukutu Mumgu
Wewe hata haikuwa na haja kunywa hii midawa ya PeP ningumu kupata ukitumia kondomu
 
Nenda kapime wewe , uanze kutumia sembe , hii ishanikuta nouma Sana , nilikimbia ziwani kwenda kujiosha 😁, sku naenda kupimwa nulipitiliza kituo cha Afya badae nikarudi mdogo mdogo, Yule mpimaji akaniuliza endapo utakuta umeathirika utafanyeje , nikamjibu sjui nitakachofanya majibu yakitoka ndo nitakuwa na jibu sahihi... Sema Yule mpimaji naye alikuwa na tako la haja
Nishapima niko Negative...sembe ndio nini mkuu!? Kwa hiyo wewe umeukwaa!? Pole mimi sitaukwaa
 
Back
Top Bottom