Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dahhh 🤣🤣🤣🤣Nenda kapime wewe , uanze kutumia sembe , hii ishanikuta nouma Sana , nilikimbia ziwani kwenda kujiosha 😁, sku naenda kupimwa nulipitiliza kituo cha Afya badae nikarudi mdogo mdogo, Yule mpimaji akaniuliza endapo utakuta umeathirika utafanyeje , nikamjibu sjui nitakachofanya majibu yakitoka ndo nitakuwa na jibu sahihi... Sema Yule mpimaji naye alikuwa na tako la haja
Asante sana Mkuu, inshallahDuu! Pole sana Mungu akuongoze uwe salama
Nitembelee imani yako mkuu, I hope nipo salama nitakupa mrejesho kwa lolote litalokuwaHapo mwanzoni ulivyosema tu umemaliza pep.
Basi sikusoma maelezi yanayofuata uko salama mkuu.
Mbona bado nipo!?🤣🤣 Ila kimawazo na stress nimemalizika kabisa sip kuisha peke yakeUmeisha tayari 😅😅
Sijakulazimisha kuusoma wote mkuu, sijakuambia nilichofanya ni ujanja, mambo yakuwa humble ni vipi tena!?, sijutii chochote nikichokifanya maana kilikuwa sahihi machoni pangu kwa kipindi kile...uwongo gani tena mkuu!? Mbona kama umepaniki!? Wewe ndio yule binti ama!?Uzi mrefu sana,punguza pia uwongo.Na kingine ni kwamba what you did sio ujanja,mwanamke angeweza kukuingiza kwenye shida sana ambayo ingekupotezea kila kitu.Be humble.
Wewe hata haikuwa na haja kunywa hii midawa ya PeP ningumu kupata ukitumia kondomuYqlinikuta na mimi hayo ila nilitumia kinga ,nilikunywa kwa siku 28na sikupata side efect nyingi nashukutu Mumgu
Ni stress tu hizo, leo sijaenda kazini mkuu nikaamua tu kuandika, acha uvivu somaUna stress na bado una uwezo wa kuandika gazeti lote hilo?
No summary? Yaani unasema uko bizy na kazi 24hrs halafu unaandika gazeti kama hili?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupe connection kuna rafiki yangu anachonga majeneza imara san
Utasubiri subiri mno, napenda kuishi mkuu🤣Maelezo meeengi we kufa tu
How true is your statement!?Sex is overrated
Nishapima niko Negative...sembe ndio nini mkuu!? Kwa hiyo wewe umeukwaa!? Pole mimi sitaukwaaNenda kapime wewe , uanze kutumia sembe , hii ishanikuta nouma Sana , nilikimbia ziwani kwenda kujiosha 😁, sku naenda kupimwa nulipitiliza kituo cha Afya badae nikarudi mdogo mdogo, Yule mpimaji akaniuliza endapo utakuta umeathirika utafanyeje , nikamjibu sjui nitakachofanya majibu yakitoka ndo nitakuwa na jibu sahihi... Sema Yule mpimaji naye alikuwa na tako la haja
Kweli mkuu, kwani hata mi ni mwingi mno ni basi tu yamenikuta mtu wanguPunguza hizi Mambo mkuu
Ila Mungu sio Athumani au sio!? Manake angekuwa wewe nadhani nisingetobozaMbinguni hawaendi wenye kufanya ngono dhembe bali tu wale wenye moyo safi