TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Bila kumtaja jina huo ni ,, Uchochezi na Jpm kakataza tabia hzo za Uchochezi,,
Mtaje Kama ni kweli.
 
Unasema kumpiga nimekosea?
nyinyi ndo mnaolea wezi,
Unatakiwa uwahi kumuua nyoka maana ukichelewa atakuuwa wewe...
Mjini hapa
wewe ndio wa kupigwa ....ulianzaje kumleta kwako na hali humfahamu vizuri????
 
l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
Lengo la kumwita lilikuwa nini, kusinzia mbele yake?
 
toka tuachie uongo

wanawake angalieni wanaume wa kuongea nao
Ukweli mtupu.

Inabidi Dada zetu watambue kuwa kuna wavulana na wanaume.

Wavulana huwa wana mbwembe nyingi.

Ila wanaume tuna vifua vya kutunza siri nyingi sana na kuchagua kipi ni cha kuongea na kipi hakitakiwi.
 
mmmh nina mashaka kweli wewe ulale umuache demu mzima mzima hiv tena kajileta mwenyewe!!!...kuwa mkweli huto kufa
 
mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Tafadhali sana sema wavulana sio wanaume
 
Mkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form four
Hata mimi STUNTER nnayemfahamu bado anakula kwao analala kwao! Kiufupi kula kulala nimeshangazwa na uwezo wa kuleta demu nyumbani,nyumba ipi?au guest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…