wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
Ahahahahhh manfongo style shemej
hiyo inaitwa shemej 4benefit. ila kaka asijue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahhh manfongo style shemej
Ahahahaahhh shemejhiyo inaitwa shemej 4benefit. ila kaka asijue
paka kulala ulileweshwa ila hukulipia ulevi,ulimuonea kumupigaUnasema kumpiga nimekosea?
nyinyi ndo mnaolea wezi,
Unatakiwa uwahi kumuua nyoka maana ukichelewa atakuuwa wewe...
Mjini hapa
pumba hizo ,eti Yesu anakaa na wazazi?wapi ?mko mtaa mmoja?Yeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE
wewe ndio wa kupigwa ....ulianzaje kumleta kwako na hali humfahamu vizuri????Unasema kumpiga nimekosea?
nyinyi ndo mnaolea wezi,
Unatakiwa uwahi kumuua nyoka maana ukichelewa atakuuwa wewe...
Mjini hapa
Lengo la kumwita lilikuwa nini, kusinzia mbele yake?l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
Ukweli mtupu.toka tuachie uongo
wanawake angalieni wanaume wa kuongea nao
Wala Huduma hakumoa!!!kwa nini hukumpa hela
Tafadhali sana sema wavulana sio wanaumemm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
Yeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE
hivi kumbe kuna wanaume na wavulanaTafadhali sana sema wavulana sio wanaume
Sio faiza foxy aiseesidhani kama humu kuna wanawake wa aina hiyo. Humu wote tunajiheshimu na tuko na ishu zetu za kueleweka.
Akampga makofi kdogo amuuwe.. Ivi makofi nayo siku iz yanaua??Huu ni uwongo wa kiwango cha PhD
Hata mimi STUNTER nnayemfahamu bado anakula kwao analala kwao! Kiufupi kula kulala nimeshangazwa na uwezo wa kuleta demu nyumbani,nyumba ipi?au guestMkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form four