TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Yeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE
Pamoja na kuwa na ID fake hapa JF, lakini ni ngumu sana kuficha tabia au utupu ulio katika vichwa vyetu. So as your comment STUNTER .
 
Mmoja wapo ww, upo badoo na huku upo pia
kama ulijua kabisa, wewe ndo mwenye lile jina linaloanza na M eeeeh, hata mimi nimekugundua maana tuko wote pande zote.

kama ID yako, unayumbayumba sana.
 
kama ulijua kabisa, wewe ndo mwenye lile jina linaloanza na M eeeeh, hata mimi nimekugundua maana tuko wote pande zote.

kama ID yako, unayumbayumba sana.
Hahahahaha jina langu halianziwi na M, kwani badoo hakuna sehemu ya kusearch unitajie jina lako nikusearch
 
Yaaan ulipiga naye story tu ukalala? Sasa ungepewa mzigo si ungezimia kabsa
 
Mkuu ulionyesha dalili kutomlipa?? Au ulichomlipa kilikuwa hakiendani na huduma uliyopewa??? ndiyo maana akaamua kujilipa au kujiongezea malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…