Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja wapo ww, upo badoo na huku upo piahahahahahahah nimecheka nilivyosikia badoo, ujue walioko kwenye badoo wengine wamo humu pia.
hahahhahaha
kama ulijua kabisa, wewe ndo mwenye lile jina linaloanza na M eeeeh, hata mimi nimekugundua maana tuko wote pande zote.Mmoja wapo ww, upo badoo na huku upo pia
Hahahahaha jina langu halianziwi na M, kwani badoo hakuna sehemu ya kusearch unitajie jina lako nikusearchkama ulijua kabisa, wewe ndo mwenye lile jina linaloanza na M eeeeh, hata mimi nimekugundua maana tuko wote pande zote.
kama ID yako, unayumbayumba sana.
hakunaga, nitajie wewe kwanzaHahahahaha jina langu halianziwi na M, kwani badoo hakuna sehemu ya kusearch unitajie jina lako nikusearch
Yeah, bado naishi kwa wazazi, au kuna tatizo mimi kuishi kwa wazazi IKIWA
YESU MPAKA LEO BADO ANAISHI KWA BABA YAKE
Mkuu ulionyesha dalili kutomlipa?? Au ulichomlipa kilikuwa hakiendani na huduma uliyopewa??? ndiyo maana akaamua kujilipa au kujiongezea malipo.Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Angesema alimchambua kama karanga hadi kidogo azimie, kidoooogo ningekubali.Akampga makofi kdogo amuuwe.. Ivi makofi nayo siku iz yanaua??
Eee mmojawapo ni huyo mleta madahivi kumbe kuna wanaume na wavulana