TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
wasi wasi wako tu hakuna anayedharirika hapa kwani kuna ndugu zako humu mpaka uhofie?
 
Alikuwa analia kama fisi pori?! [emoji15]
 
Mkuu taja jina tumpe pole ila usitaje jina halisi. Taja jina (feki) analotumia hapa JF. Hatari sana I see....ungeweza kuua mtu. Sijui ingekuwaje.
 
Kumbe hata humu jf kuna mademu majizi (vicheche)? Sipati picha.
 
Sasa wewe nae goma linajileta ndani afu unaishia kulala serious? Mmmh kuna usalama kweli?
 

Duuuh[emoji29] hivi alikua dem kwel huyo au kajigeuza maumbile maana ni noooma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…