Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasi wasi wako tu hakuna anayedharirika hapa kwani kuna ndugu zako humu mpaka uhofie?mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudhalilika bure angetulia zake yasingemkuta
ha ha ha umesisitiza kabisaaMi Tomaso. Mtaje tu maana hamna namna.
Alikuwa analia kama fisi pori?! [emoji15]Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
ha ha ha,kuibiwa sooonaona umefurahi kwa story tamu
aiseee nanuswe atuagane pakyakaha ha ha,kuibiwa sooo
Mkuu taja jina tumpe pole ila usitaje jina halisi. Taja jina (feki) analotumia hapa JF. Hatari sana I see....ungeweza kuua mtu. Sijui ingekuwaje.Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Hatari sana I see. Umeona eeh?aiseee nanuswe atuagane pakyaka
Kumbe hata humu jf kuna mademu majizi (vicheche)? Sipati picha.Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Ahsante kwa ushauri uloenda school MO.toka tuachie uongo
wanawake angalieni wanaume wa kuongea nao
yapHatari sana I see. Umeona eeh?
Kama alikosa ujasiri ndani akalala, ujasiri wa kutaja atapata wapi aseeMtaje jina kama wewe ni jasiri
Kama ni kweli amtaje. Huyu jamaa hata hajui kudanganya.toka tuachie uongo
wanawake angalieni wanaume wa kuongea nao
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
ametunga tu nawe unadhani kweliKama alikosa ujasiri ndani akalala, ujasiri wa kutaja atapata wapi asee
Huyo dada nae namlaumu sana, kwanini hakumtoboa macho ndo aibeametunga tu nawe unadhani kweli
ha ha ha haHuyo dada nae namlaumu sana, kwanini hakumtoboa macho ndo aibe
kuharibu soko? kwani watu wanajiuza mkuu?Hizi tuhuma, zitawaharibia soko wanawake waJF hasa kutoka MMU.
*Inabidi waje kupinga vikali sana, kumbe wengine wezi