Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa maandiko yako haya nikajua bado unaishi na wazazi ukisubili majibu ya form four
Sasa kuzalilika si mtu anataka mwenyewe? Kwani lazima uibe?
Hivi umemuamini huyu dogo?? Humjui vizuri huyu mzee wa fiksifiksi???mm ndio mana sitaki kabisa kuonana na wanaume wa humu unajiepushia mengi sana kama hivyo kuja kudharirika bure angetulia zake yasingemkuta
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu
Hivi umemuamini huyu dogo?? Humjui vizuri huyu mzee wa fiksifiksi???
Heshima kwako pia ndugu yangu...Mkuu kitambo sana. Heshima kwako brother