TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

TRUE STORY: Nimekoswakoswa Kuibiwa na msichana wa JF

Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini nilikuwa nimelala jicho moja,
demu akaanza
kunipiga sachi mi namuangalia tu naona anaanza
kubeba laptop yangu na waleti niliamka nikamdaka
shingo nilimpiga nusu nimuuwe makofi yakutosha,
ashukuru Mungu wasamaria wema walikuja
kumuoka alikuwa analia kama fisi pori.
[HASHTAG]#jamani[/HASHTAG] humu Jamiiforums Musimuamini Kila mtu

Ahahah mkuu usingempiga bora ungelipiza kwa kumgegeda
 
l wish l could believe you Stunter,mgeni wako aje,moige story mpaka mwenyeji usinzie,na lengo la kukutana ilikuwa ni nini?sio kugegedana?kama sio kugegedana ilikuwa nn aje mpaka usinzie?
 
Ndio ukome kulala lala hovyo. Story tuu umelala ungepewa achiboboo si ndio ungefariki kabisa.
 
Back
Top Bottom