Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China.
Hata hivyo Wamarekani wengi wamelalama wakidai sio sawa kujali bidhaa za electronics tu wakiamini inachangiwa na sababu za ukaribu wake uliopitiliza na matajiri wa tech.