Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameanza kipindi chake cha pili kwa mpango wa kutaka kunyakua Greenland ambalo ni eneo la nchi ya Denmark na mfereji wa Panama ambao ni eneo la nchi ya Panama.
Aliwahi kugusia jambo la US kuinunua Greenland katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi watu wakafirkiri alikuwa anafanya utani tu au ni mjinga asiyejua anachokisema ila ameyarejea madai yake na akawajibu waandiashi wa habari yuko serious sana na pia hawezi kuwahakikishia hatatumia hata nguvu za kijeshi kuyachukua.
Anadai hayo ni maeneo muhimu kwa usalama na uchumi wa Marekani, amelalamika Wachina kujazana katika hayo maeneo.