Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi,silaha,hali ya kisiasa,washirika,uimara wa mapiganoVita ni uchumi pia, kama nchi ina uchumi mdogo hata misuli ya kijeshi nayo inakuwa midogo.
Hakuna kitu huwa kinawaunganisha raia pamoja kama adui kutoka nje, halafu mgawanyiko wa siasa za Tanzania ni kivyama, aina hii ya mgawinyiko hana impact sana kwenye vita kwa sababu unakuta baba yuko CHADEMA na mama yuko CCM. Mgawawanyiko mbaya katika vita unaoweza kumpa adui wa nje fursa kubwa ni wa dini, ukabila au ukanda.Uchumi,silaha,hali ya kisiasa,washirika,uimara wa mapigano
Option yoyote itakayo husu vita ambayo uta mobilise watu ili kupigana haina nguvu tena Tanzania.
Kwa hiyo chaguzi lolote la vita ni baya kwa CCM hawapo upande wowote wa kushinda vita bali upande hasi wa kuathirika na matokeo ya vita hii ilikuwa hata Uganda tuliyopigana nayo tulipata weak enemy aliyekuwa na hali mbaya ya kisiasa nchi mwake licha ya support ya washirika walio mpatia lakini haikumsaidia chochote.
Hata waganda wenyewe walishirikiana na adui kumtandika Amin pasipo kujali madai yake yalikuwa sahihi ama laaah.
Hili swala ninaendelea kulisoma ili kulielewa kwa undani wake na kupata mantiki.Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameanza kipindi chake cha pili kwa mpango wa kutaka kunyakua Greenland ambalo ni eneo la nchi ya Denmark na mfereji wa Panama ambao ni eneo la nchi ya Panama.
Aliwahi kugusia jambo la US kuinunua Greenland katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi watu wakafirkiri alikuwa anafanya utani tu au ni mjinga asiyejua anachokisema ila ameyarejea madai yake na akawajibu waandiashi wa habari yuko serious sana na pia hawezi kuwahakikishia hatatumia hata nguvu za kijeshi kuyachukua.
Anadai hayo ni maeneo muhimu kwa usalama na uchumi wa Marekani, amelalamika Wachina kujazana Panama.
Hamna wa kututisha hapo bro; wote hao tumewapa sisi ulinzi for years na wengine hata kukaa kwao madarakani ni mkono wa hapa bongo.Kwa jeshi gani mlilo nalo au una dhani vita ni rahisi kama kucheza ngoma.
HaahHakuna kitu huwa kinawaunganisha raia pamoja kama adui kutoka nje, halafu mgawanyiko wa siasa za Tanzania ni kivyama, aina hii ya mgawinyiko hana impact sana kwenye vita kwa sababu unakuta baba yuko CHADEMA na mama yuko CCM. Mgawawanyiko mbaya katika vita unaoweza kumpa adui fursa kubwa ni wa dini, ukabila au ukanda.
Acha kuishi ufahari wa kale hakuna vita hapo Tanzania atashindaHamna wa kututisha hapo bro; wote hao tumewapa sisi ulinzi for years na wengine hata kukaa kwao madarakani ni mkono wa hapa bongo.
Ni mtazamo wangu kaka; simuoni wa kuishinda Tanzania hapo; BTW hakuna ambaye hajawahi kuonja kichapo chetu, Burundi iliwahi kuomba poo miaka ya 1997/98, Rwanda JK alifanya yake vizuri tu na PK alipiga magoti kwake, Comoro hadi rais aliepo pale tulimuweka sisiAcha kuishi ufahari wa kale hakuna vita hapo Tanzania atashinda
Jeshi limejaa vyuma chakavu.😅😅zile manati wanazo pitisha uwanja wa uhuru zinafika hata visiwa vya comoro kweli
Vile vyuma chakavu vinavyo pitaga kwenye maonesho uwanja wa uhuru ndo vinakudanganya?Kuna maelfu ya vijana wamepita JKT kwa mujibu wa sheria au kujitolea, hilo ni jeshi la akiba.
Tena Comoro, Burundi na Rwanda asijaribu. Kwa Comoro mfaransa atatumaliza. Burundi na Rwanda Bado mfaransa ananasaba na hayo makoloni ya ubelgiji.Kwa jeshi gani mlilo nalo au una dhani vita ni rahisi kama kucheza ngoma.
Tuanze na kiembembuziHivi Tanzania hatuwezi kuzinyakua Rwanda na Burundi tukazirudisha?
Basi tukishindwa hata Comoro au Shelisheli tu
hao wakomoro na washelisheli ni waswahili tu, wanapenda kuwa sehemu ya tanzania. Kwa rwanda na burundi inajulikana ilikuwa koloni moja la mjerumani la germany east africaHivi Tanzania hatuwezi kuzinyakua Rwanda na Burundi tukazirudisha?
Basi tukishindwa hata Comoro au Shelisheli tu
Jaribu kwingine ila siyo Comoro, ushelisheli ni matajiri na wanajielewa huwezi kuwanyakuwa kifala.hao wakomoro na washelisheli ni waswahili tu, wanapenda kuwa sehemu ya tanzania. Kwa rwanda na burundi inajulikana ilikuwa koloni moja la mjerumani la germany east africa
mbona yule mpinzani wa abdallah sambi alipotwaa madaraka kinyemela alipata kifinyo laini toka jwtz chini ya mwamvuli wa jeshi la kimataifa la sadc?Jaribu kwingine ila siyo Comoro, ushelisheli ni matajiri na wanajielewa huwezi kuwanyakuwa kifala.
duh! Ataanzaje kuichukua canada iwe sehemu yake? Akifanikiwa marekani itakuwa na majimbo ya quebeck yanayoongea kifaransa. Kuna yale yanayoongea kihispania kama texas, hata ya kireno yatatakuwepoSio tu Panama na Greenland huyu Mzaramo wa U.S anataka na Canada.
Mashabiki zake walikuwa wana msifia kuwa sio mtu wa vita na chokochoko ila hii speed aliyo anza nayo atawavua nguo.
Na sababu nyingine anasema lengo la kutaka maeneo hayo ni kumdhibiti China
Umeelewa lakini? Yule alikuwa amejisimika unahisi ufaransa atakubali Tanzania mchukue makoloni Yale?mbona yule mpinzani wa abdallah sambi alipotwaa madaraka kinyemela alipata kifinyo laini toka jwtz chini ya mwamvuli wa jeshi la kimataifa la sadc?