Trump aanza kwa kutaka kunyakua Greenland na mfereji bahari wa Panama

Trump aanza kwa kutaka kunyakua Greenland na mfereji bahari wa Panama

Kumbe greenland yenyewe haina uwezo wa kijeshi na ina watu wachache kama elfu hamsini! Denmark inalazimika kuipa ulinzi na inaonekana hata marekani ikiichukua hakutakuwa na vita, denmark itaona poa tu
 
Kwamba unapora maeneo kirahisi rahisi tu haah
 
Cha kushangaza wanao pinga Urusi kujitwalia maeneo ya Ukraine ndo vinara wa kutaka kuchukua maeneo ya wengine na pro USA huwezi sikia wakikemea hili.
 
Tramp ataanzaje kuichukua greenland kama umoja wa ulaya hautaki? Atapigana vipi na wanachama wenzake wa NATO?
 
Screenshot_20250108-200258.jpg
 
Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameanza kipindi chake cha pili kwa mpango wa kutaka kunyakua Greenland ambalo ni eneo la nchi ya Denmark na mfereji wa Panama ambao ni eneo la nchi ya Panama.

Aliwahi kugusia jambo la US kuinunua Greenland katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi watu wakafirkiri alikuwa anafanya utani tu au ni mjinga asiyejua anachokisema ila ameyarejea madai yake na akawajibu waandiashi wa habari yuko serious sana na pia hawezi kuwahakikishia hatatumia hata nguvu za kijeshi kuyachukua.

Anadai hayo ni maeneo muhimu kwa usalama na uchumi wa Marekani, amelalamika Wachina kujazana katika hayo maeneo.
Yeye siyo wa kwanza kutamani kuinunua Greenland bali hata watangulizi wake walifata sera hiyo hiyo
 
Aliwahi kugusia jambo la US kuinunua Greenland katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi watu wakafirkiri alikuwa anafanya utani tu au ni mjinga asiyejua anachokisema ila ameyarejea madai yake na akawajibu waandiashi wa habari yuko serious sana na pia hawezi kuwahakikishia hatatumia hata nguvu za kijeshi kuyachukua.
Kuna viongozi Africka wanatamani Trump aelekeze macho kwenye nchi zao ili watafute maneno ya hadaa kwa wananchi wao fikiria nchi ikiwa mikononi mwa muwakilishi wa Kawe
 
Akishindwa huko,sisi tupo tayari kunyakuliwa tuwe Jimbo la 55,umbali sio issue asiwaze.
 
Back
Top Bottom