Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Trump anatumia sana hii mbinu ya kutishiaTrump nae nowdays mikwara mingi kila siku!, mara lile mara hili dah, mambo ya nchini mwake anafatilia mda gani!?
Asipoingia ni muoga, akiingia anaitwa mharibuji wa Amani Mashariki ya kati na katili kwa nchi KiislamuFisi huyo anaogopa kuingia cha kike
Anajua mziki wa Ayatollah mpaka aliomuombea poo mzayuni
Mbona Israel ndio iliomba ceasefire!Huyu udevu kunoga akianza kubutuliwa utasikia tu "Marikani mwonevu thana" mamaqe nyie wale watu wachukulieni poa tu hivyo hivyo alafu mje mshangazwe
Mzee wa mawigi anadhani Iran ni VenezuelaMzee wa mawigi amerudisha mpira Kwa keeper
Nalog off Z
Mwambie aingie tu, hakuna shidaAsipoingia ni muoga, akiingia anaitwa mharibuji wa Amani Mashariki ya kati na katili kwa nchi Kiislamu
Wabongo hamueleweki