Trump adai mtu anayeokoa nchi yake havunji sheria yoyote!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hii kauli ina tofauti gani ni ile ya "kuna mhimili moja uliojichimbia chini zaidi"?!
Poor Murica.
Screenshot_20250215-224818_X.jpg
 
Hii kauli ina tofauti gani ni ile ya "kuna mhimili moja uliojichimbia chini zaidi"?!
Poor Murica.
View attachment 3237322
😃😃😃Western democracy is failing. Si Marekani, si Ulaya kilio ni kile kile. Wachina mnaowakandia takwimu zinaonyesha kuwa raia wana imani sana na serikali yao kuliko wamarekani walivyo na imani na serikali yao.
 
Vitu vingine haivihitaji uwe na demokrasia ili uwe na imani na serikali yako hata siku CCM wakijirekebisha na kuuanza kuhudumia watanzania kama wenzao CCP nina uhakika watanzania wengine hawatojali lolote kuhusu chaguzi za hovyo hovyo zisizo na mantiki na watajenga imani kubwa na serikali yao nitakuwa mmoja wao.

Sasa kama CCP wanajenga nchi yao na kuhudumia wananchi wao huku ulaya na marekani viongozi wao wengi wanaendekeza usanii unafikiri nani hapo atajenga imani na serikali yao ?

By the way wachina wengi hawajali sana kuhusu Western democracy tamaduni zao tu zimejaa maisha ya kihafidhina
 
Trump aliielewa sana falsafa ya Magulification!
98% ya binadamu wana uelewa wa kawaida wa mambo, na ni kawida kwao kukaririshwa kwa sababu uwezo wao wa kuchambua mambo ni wa wastani na tija ni kidogo kwa fikra zao. Kundi hili la Binadamu ni Kubwa na limekaririshwa mambo mengi ya kipropaganda.

Mtoto wa Shule Tafuta mtu akuelimishe kidogo kuhusu Sera za Trump. Hadaa ya Demokrasia ya Kiafrika ni UTAPELI mkubwa na WANASIASA ni Matapeli namba moja na Adui wa maendeleo. TAFAKARI
 
Tofauti yako na yangu ni moja tu. Kwamba kwakuwa Trump ni mzungu basi unaamini ana akili kubwa kuliko Mwamba Magufuli ambaye ni mwafrika. Kwa hilo wacha tutofautiane
 
Vitu vingine haivihitaji uwe na demokrasia ili uwe na imani na serikali yako hata siku CCM wakijirekebisha na kuuanza kuhudumia watanzania kama wenzao CCP nina uhakika watanzania wengine hawatojali lolote kuhusu chaguzi za hovyo hovyo zisizo na mantiki na watajenga imani kubwa na serikali yao nitakuwa mmoja wao.

Sasa kama CCP wanajenga nchi yao na kuhudumia wananchi wao huku ulaya na marekani viongozi wao wengi wanaendekeza usanii unafikiri nani hapo atajenga imani na serikali yao ?

By the way wachina wengi hawajali sana kuhusu Western democracy tamaduni zao tu zimejaa maisha ya kihafidhina
Utamaduni wa Tanzania ni tofauti sana na China, hata tuwe na serikali inayotuwekea pesa mifukoni Watanzania bado watadai tu demokrasia. China yenyewe inatumia nguvu kubwa sana kuzuia demokrasia ikiwa ni pamoja na kukata mawasiliano ya mitandao ya kijamii kati ya raia nchini China na raia wa mataifa ya nje, mass surveillance na state propoganda.
 
Unachekesha ujue.

Unaifahamu RedNote ?
 
Back
Top Bottom