Trump adai Siku za Mapumziko ni Nyingi Sana na zinaigharimu pesa nyingi Marekani

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Screenshot 2025-06-20 124140.png

​
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Truth Social Rais wa Marekani, Donald Tru,p ameandika Juni 19, 2025 ""Siku nyingi za mapumziko zisizo za kazi nchini Marekani. Zinatugharimu mabilioni kwa sababu biashara nyingi hufungwa. Wafanyakazi nao hawapendi hali hiyo."

Trump ametoa kauli katika sikukuu ya kitaifa ya "Juneteenth" ambayo husherekewa Juni 19 kila mwaka kwa ajili ya kuadhimisha kuachwa huru kwa Waamerika Weusi waliokuwa watumwa watumwa.

Trump aliongeza kwa kusema "Kwa mwendo huu tutakuja kuwa na sikukuu kila siku ya kazi. Hali hii lazima ibadilike kama kweli tunataka kuifanya Marekani kuwa na Nguvu tena" na pia hakuhudhuria wala kushiriki katika shughuli yoyote ya kuadhimisha sikukuu hiyo​

=============For English Audience===============
​
Trump on Juneteenth: US has ‘too many non-working holidays’

President Trump said the country is losing money due to the number of federal holidays on Thursday, which marks Juneteenth, the newest addition to the U.S. holiday calendar.

“Too many non-working holidays in America. It is costing our Country $BILLIONS OF DOLLARS to keep all of these businesses closed,” the president wrote in a Truth Social post.

“The workers don’t want it either,” he added.

Government employees are traditionally given the day off on federal holidays while receiving pay.

Juneteenth, created to celebrate the freedom of enslaved Black Americans, was designated as a federal holiday in 2021 by former President Biden.​

“Soon we’ll end up having a holiday for every once working day of the year. It must change if we are going to, MAKE AMERICA GREAT AGAIN!” Trump wrote on Thursday.

The president did not participate in any Juneteenth events or celebrations.

​
 
U

bagusi kwa vile inahusu waafrika/watumwa weusi
 
Trump hutumia theluthi ya muda wake wa urais kuwa mapumzikoni na kucheza golf
 
Kama marekani wanasema wana holiday nying za nchi na wanalaumu….Vip huku kwetu machakani holiday kwa mwaka ziko kama 20 hv plus wkends!!
 
Nitaanza kufuatilia kile Wasabato wanachosema kuhusu mipango ya kuja kupotoshwa kwa The National Sunday Law. Kufanya Jumapili kuwa siku pekee ya ibada kwa kigezo kwamba siku za kutofanya kazi zimekuwa nyingi sana. Ni kama wana ukweli fulani hivi. 🤔
 
Nyerere day, karume day, 9/12, mapinduzi ya Zanzibar, 26/4, sabasaba, nane nane nk, huu ni uvivu
Assume zisiwepo, zimeondolewa, unategemea nini kipya kitaongezeka kwa dizaini na hali ya utawala uliopo.

Inabidi kwanza tuwe na vitu vya kipaombele kuviondoa. Sio hizo sikukuu😎😎
 
Ni kweli sikukuu zingine hazina kabisa maana.

Kama sisi hapa tuna sikukuu zingine feki kabisa ambazo zinafaa zifutwe kama: Nyerere day, Karume day, Saba saba, Nane nane na Mapinduzi day.

Muungano iunganishwe na Mashujaa isherehekewe siku moja Aprili 26 badala ya Nyerere/Karume day na iwepo siku ya uhuru wa Zanzibar, Desemba 12 badala ya sikukuu ya Mapinduzi ambayo haina maana kwani Uhuru ni muhimu kuliko Mapinduzi.

Sikukuu zingine kama ya mwaka mpya, sikukuu za kidini zibaki na Wafanyakazi iunganishwe na Wakulima, Wafugaji na Wavuvi.
 
Nyerere day, karume day, 9/12, mapinduzi ya Zanzibar, 26/4, sabasaba, nane nane nk, huu ni uvivu
Mi naona weekends ziongezwe kama Sweden🤔 kwasababu ijumaa ni siku ya ibada na isiwe siku ya kazi
 
Ni kweli sikukuu zingine hazina kabisa maana.

Kama sisi hapa tuna sikukuu zingine feki kabisa ambazo zinafaa zifutwe kama: Nyerere day, Karume day, Saba saba, Nane nane na Mapinduzi day.

Muungano iunganishwe na Mashujaa isherehekewe siku moja Aprili 26 badala ya Nyerere/Karume day na iwepo siku ya uhuru wa Zanzibar, Desemba 12 badala ya sikukuu ya Mapinduzi ambayo haina maana kwani Uhuru ni muhimu kuliko Mapinduzi.

Sikukuu zingine kama ya mwaka mpya, sikukuu za kidini zibaki na Wafanyakazi iunganishwe na Wakulima, Wafugaji na Wavuvi.
Wewe kama ni Mkristo kama mimi naomba tuungane kwa pamoja kufuta Chrismasi , Paska na Ijumaa kuu .Kama pia ni Shekhe kama mim hizi Idd tuzifute pia .
Ndo tuhamie ile ya Baba wa Taifa .🤒

Yaana unataka kukataza taifa kumuenzi Baba wa taifa !!!😥😥
 
Nyerere day, karume day, 9/12, mapinduzi ya Zanzibar, 26/4, sabasaba, nane nane nk, huu ni uvivu
Nilitaka kuandika kama hivi; kwani baadhi ya siku kama hizi ulizozipendekeza, tuzifanye kua siku za kumbukumbu lakini ziwe siku za kazi kawaida? Maisha ni kuchagua. Yaani siku za Nyerere na Karume day, Sabasaba na NANENANE, tuwe tu kama ilivo siku ya kina mama duniani, siku ya Ukimwi, Malaria nk. Tuna azimisha but we still continue working. Nchi masikini halafu tunakua na rundo la siku za mapumziko. Magufuli aliwahi kutuonjesha hi, siku ya Uhuru tarehe 09 December na Muungano, mwamba si akasema tufanye usafi halafu pesa zikaenda kujenga barabara ile ya Ali Hassani Mwinyi na ile ya Mwanza to the airport, umasikini wetu sometimes ni wa kujitakia. Big up Trump
 
Hivi huyu jamaa anatumia muda kiasi gani anacheza Golf ?, Alikuwa anamlaumu Obama kwamba anacheza sana golf ingawa yeye alivyoingia ni kam vile golf ndio ilikuwa ofisi yake (Sitashangaa kama alikuwa anatumia muda mwingi kwenye golf course kushinda hata Tiger Woods)

Huwezi kuchukulia serious lolote analobwabwaja huyu Bwana...
 
Wewe kama ni Mkristo kama mimi naomba tuungane kwa pamoja kufuta Chrismasi , Paska na Ijumaa kuu .Kama pia ni Shekhe kama mim hizi Idd tuzifute pia .
Ndo tuhamie ile ya Baba wa Taifa .🤒

Yaana unataka kukataza taifa kumuenzi Baba wa taifa !!!😥😥
Huo ni ujinga kabisa utamuabuduje mtu nyie ndio mnafanya watanzania waonekane watu wajinga kabisa na wenye IQ ya chini sana.
 
Ndugu kumuenzi mtu ni kumuabudu ???🤒 Hivi wewe ulisoma hii elimu hii tuloletewa watanzania au ya wale wenzetu ???

Mtafute mwalimu wako wa Lugha akusaidie
 
Kupitia akaunti yake ya mtandao wa Truth Social Rais wa Marekani, Donald Tru,p ameandika Juni 19, 2025 ""Siku nyingi za mapumziko zisizo za kazi nchini Marekani. Zinatugharimu mabilioni kwa sababu biashara nyingi hufungwa. Wafanyakazi nao hawapendi hali hiyo."

Trump ametoa kauli katika sikukuu ya kitaifa ya "Juneteenth" ambayo husherekewa Juni 19 kila mwaka kwa ajili ya kuadhimisha kuachwa huru kwa Waamerika Weusi waliokuwa watumwa watumwa.

Trump aliongeza kwa kusema "Kwa mwendo huu tutakuja kuwa na sikukuu kila siku ya kazi. Hali hii lazima ibadilike kama kweli tunataka kuifanya Marekani kuwa na Nguvu tena" na pia hakuhudhuria wala kushiriki katika shughuli yoyote ya kuadhimisha sikukuu hiyo​

=============For English Audience===============
​
Trump on Juneteenth: US has ‘too many non-working holidays’

President Trump said the country is losing money due to the number of federal holidays on Thursday, which marks Juneteenth, the newest addition to the U.S. holiday calendar.

“Too many non-working holidays in America. It is costing our Country $BILLIONS OF DOLLARS to keep all of these businesses closed,” the president wrote in a Truth Social post.

“The workers don’t want it either,” he added.

Government employees are traditionally given the day off on federal holidays while receiving pay.

Juneteenth, created to celebrate the freedom of enslaved Black Americans, was designated as a federal holiday in 2021 by former President Biden.​

“Soon we’ll end up having a holiday for every once working day of the year. It must change if we are going to, MAKE AMERICA GREAT AGAIN!” Trump wrote on Thursday.

The president did not participate in any Juneteenth events or celebrations.

​
Akilala akiamka, anaamka na jipya.
 
Back
Top Bottom