Wasabato wana wenge,yote wanayotabili na kuhubiri niuongo mtupu,eti dunia nzima italazimishwa wasali jumapili tu,we uliskia wapi.?Nitaanza kufuatilia kile Wasabato wanachosema kuhusu mipango ya kuja kupotoshwa kwa The National Sunday Law. Kufanya Jumapili kuwa siku pekee ya ibada kwa kigezo kwamba siku za kutofanya kazi zimekuwa nyingi sana. Ni kama wana ukweli fulani hivi. 🤔

Kusema kweli, sijawahi kusikia kwingine kokote zaidi ya Wasabato.Wasabato wana wenge,yote wanayotabili na kuhubiri niuongo mtupu,eti dunia nzima italazimishwa wasali jumapili tu,we uliskia wapi.?
Mbaguzi, mropokaji anatamani siku ya uhuru wa mtu mweusi ifutwe.Kwa sababu jana ilikuwa sikukuu ya uhuru wa watu weusi kutoka utumwani.
Swali nzuri kabisa mkuuAssume zisiwepo, zimeondolewa, unategemea nini kipya kitaongezeka kwa dizaini na hali ya utawala uliopo.
Inabidi kwanza tuwe na vitu vya kipaombele kuviondoa. Sio hizo sikukuu😎😎