Tetesi: Trump afadhaika kukatazwa kutumia simu zake

Mmmmh hiyo kunyang'anywa simu mbele za watu umetunga tu na pamoja na usalama wa rais lakini anakuwa na mambo yake binafsi na kwa marekan rais anaruhusiwa kuchagua mtu yeyote wa karibu yake,anaitwa first officer kama sikosei.
Hiyo kauli ilitolewa na Obama mwenyewe, kwamba alinyang'anywa simu mbele ya other officers alipotaka kuitumia. Yeye alikabidhiwa simu ya kutumia na akaelezwa kwamba atakua akitumia simu hiyo kuanzia siku hiyo. Alipotaka kufanya mawasiliano na marafiki zake, akaamua kuchukua katia ya simu zake binafsi ndipo akanyang'anywa mbele ya maofisa wa Ikulu. Sasa kama Obama alidanganya, hilo ni suala lingine.
 
Hii mbona sio siri mkuu.Sema kwa kuwa WaTz kusoma ni kama kituo cha polisi.Ninalosema nimelihakikisha.Hebu google "Trump agrees to pay US $ 25 million in Trump University Settlement." Usipende sana ukawa kipofu mkuu.
Acha kupotosha wewe, rudi kasome chanzo cha yeye kulipa faini alafu irudi tena
 
Iwe kweli ama uongo,huyu mzee ana vituko sana...Si ajabu kumkuta twitter anajibizana na watu ''disaini'' ya Rosie O'donnell..
 
Mkuu Miungu ipo mingi inategemea tu yeye kamkusudia Mungu yupi maana hata Ng'ombe na sanami ni Mungu kwa imani zingine na anahitaji ulinzi.
Duh ni kweli mkuu umenikumbusha kama ni wa upande huo yuko sahihi.
 
Duuhh jama wako serious na kazi yao sana!!!
Kwa mantiki hii hata kazi zingine wanazifanya kwa umakini wa aina hii, na kama ni hivi maendeleo sisi tusahau kwa havi karibuni!!!
Je wa kwetu wanaujasiri wa kumnyang'anya rais wetu pale anapo potoka kidogo?
 
 
Kwani phone book imefutika si ahamishie namba huko
 
Kwani phone book imefutika si ahamishie namba huko
Akiiweka ON Majasusi wataingilia simu yake.
Hana namna ila ku comply.
Rais wa zamani wa Misri Mubarak kabla hajaondoka madarakani aliwahi kusema. "Maisha ya URAIS ni kama JELA wale wanaotamani kiti hiki hawajui kifungo kilichoko katika URAIS.Huna muda wako wa binafsi ni tabu kubwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…