Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Donald Trump ni kama anataka kuja na mpango mpya wa punguzo la ushuru kwa China kutoka 145% kwa sasa mpaka 80% huku kazi nzima akiachiwa waziri wa fedha Scott Bessent.
Pia ni kama anaiomba au kuisisitiza China kufungua soko kwa Marekani japo yeye Trump anasema itakuwa ni vizuri kwa China ila kufunga haisaidii chochote.
New York Post imeripoti kuwa Marekani ipo katika mpango wa kupunguza ushuru kwa China kutoka 145% mpaka 50%
Serikali ya Trump itafanya hivyo ? Ni suala la kusubiri