Ila 2B ni parefu aisee, acha nicheze tu lottery labda nitabahatikaHii ni fursa kwa mafisadi wa CCM wachangamkie
😀😀Ila 2B ni parefu aisee, acha nicheze tu lottery labda nitabahatika
Wana shida gani mpaka wakaombe uraia wa USA? Maisha ya nchi zilizoendelea huwezi kufanya kona-kona kama wanazofanya hapa. Mtu kama Rostam au GSM Wana fedha nzuri ya kuwawezesha kuishi popote lakini sidhani kama wanaweza kuhama. Bongo wanasujidiwa kama miungu watu, wanafanya wapendavyo huko hawawezi kuishi. Sana sana wataenda kutembea na kutibiwa.Hii ni fursa kwa mafisadi wa CCM wachangamkie
Hapa natarajia Wanamtandao wote wa Bongo kuwa raia wa Amerika.Ni sera yake mpya aliyosaini leo ikiitwa Trump Gold Card, amesema hata Oligarchs wa Russia wanaruhusiwa kulipa na kununua uraia wa Marekani.
View attachment 3476724View attachment 3476725
Xi na wenzake sio washamba wa MarekaniTrump mwamba kabisa, ila mkuu hizo 5M usd wewe umezitoa wapi wakati yeye kasema 1M na 2M usd, au unataka kupiga ya udalali wa taarifa??
Enewei hapo bila shaka raisi wa uchina Xi Jinping Mrusi Putin , Kiduku mabwanga na Ayatollah watakua watu mwanzo mwanzo kabisa kuipata hiyo maana mpunga wanao na ndoto ya kuzamia US wanayo.
China imejengeka kuliko US, hivi US inaizidi kitu gani China kuanzia usalama hadi miundombinu?Trump mwamba kabisa, ila mkuu hizo 5M usd wewe umezitoa wapi wakati yeye kasema 1M na 2M usd, au unataka kupiga ya udalali wa taarifa??
Enewei hapo bila shaka raisi wa uchina Xi Jinping Mrusi Putin , Kiduku mabwanga na Ayatollah watakua watu mwanzo mwanzo kabisa kuipata hiyo maana mpunga wanao na ndoto ya kuzamia US wanayo.
Heri yake. Bongolala tunagawa bure kama njuguNi sera yake mpya aliyosaini leo ikiitwa Trump Gold Card, amesema hata Oligarchs wa Russia wanaruhusiwa kulipa na kununua uraia wa Marekani.
View attachment 3476724View attachment 3476725
Kitendawili cha uraia pacha bado hakijajibiwa, hapa haondoki mtuHii ni fursa kwa mafisadi wa CCM wachangamkie
China imejengeka kuliko US, hivi US inaizidi kitu gani China kuanzia usalama hadi miundombinu?
US ni kipenzi cha watu wengi duniani, ni ndoto ya watu wengi na sio huko vichakani uchina.China imejengeka kuliko US, hivi US inaizidi kitu gani China kuanzia usalama hadi miundombinu?