Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."Trump mwamba kabisa, ila mkuu hizo 5M usd wewe umezitoa wapi wakati yeye kasema 1M na 2M usd, au unataka kupiga ya udalali wa taarifa??
Enewei hapo bila shaka raisi wa uchina Xi Jinping Mrusi Putin , Kiduku mabwanga na Ayatollah watakua watu mwanzo mwanzo kabisa kuipata hiyo maana mpunga wanao na ndoto ya kuzamia US wanayo.
Albert Einstein