Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 879
- 1,578
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."Trump mwamba kabisa, ila mkuu hizo 5M usd wewe umezitoa wapi wakati yeye kasema 1M na 2M usd, au unataka kupiga ya udalali wa taarifa??
Enewei hapo bila shaka raisi wa uchina Xi Jinping Mrusi Putin , Kiduku mabwanga na Ayatollah watakua watu mwanzo mwanzo kabisa kuipata hiyo maana mpunga wanao na ndoto ya kuzamia US wanayo.
Huyu Mkuu ni mtu wa maana sana. Sijui kwanini watu walikuwa wanampinga mtu anayeipenda nchi yake, na kuiwazia mema namna hii. Muda si mrefu ndoto yake ya MAGA itatimia.Ni sera yake mpya aliyosaini leo ikiitwa Trump Gold Card, amesema hata Oligarchs wa Russia wanaruhusiwa kulipa na kununua uraia wa Marekani.
View attachment 3476724View attachment 3476725
USA ip,i hii ambayo mauaji ya kikatili, hadi school shooting ni habari za kawaida, orange man kaifanya Marekani kuwa nchi ya ovyo kabisa.US ni kipenzi cha watu wengi duniani, ni ndoto ya watu wengi na sio huko vichakani uchina.
Umesema vyemaUwe na $5m ukatafute stress huko Marekani kweli? Ukiwa nayo hapa bongo utaishi kifalme kabisa, uwekezaji wa nguvu na status kama yote.
Ndoto ya MAGA ni ndoto ya mchanaHuyu Mkuu ni mtu wa maana sana. Sijui kwanini watu walikuwa wanampinga mtu anayeipenda nchi yake, na kuiwazia mema namna hii. Muda si mrefu ndoto yake ya MAGA itatimia.
Ni jambo jemaNi sera yake mpya aliyosaini leo ikiitwa Trump Gold Card, amesema hata Oligarchs wa Russia wanaruhusiwa kulipa na kununua uraia wa Marekani.
View attachment 3476724View attachment 3476725
Orange man amechanganyikiwa anajiropekea ovyo , alisikika juzi kuwa anahitaji kuirudisha Bagram Airbase , Afghanistan.Ndoto ya MAGA ni ndoto ya mchana
China inaiacha mbali sana US kimiundombinu...US ni kipenzi cha watu wengi duniani, ni ndoto ya watu wengi na sio huko vichakani uchina.
Nani akaishi US nchi imekuwa kama South Africa?US ni kipenzi cha watu wengi duniani, ni ndoto ya watu wengi na sio huko vichakani uchina.
Orange man amechanganyikiwa anajiropekea ovyo , alisikika juzi kuwa anahitaji kuirudisha Bagram Airbase , Afghanistan.
Kwa kuwa hajawapa bure na ni sehemu ambayo ni karibu sana ambapo uchina anazaliaha silaha za nyukilia
Countries with the largest rail networks:China inaiacha mbali sana US kimiundombinu...
Mtu Yuko sinza au vikindu anasema trump kachanganyikiwa wakati unaishi kwenye nchi fukara huna lolote zaidi matacoreOrange man amechanganyikiwa anajiropekea ovyo , alisikika juzi kuwa anahitaji kuirudisha Bagram Airbase , Afghanistan.
Kwa kuwa hajawapa bure na ni sehemu ambayo ni karibu sana ambapo uchina anazaliaha silaha za nyukilia
Hela za wizi hawathubutu kwenda kuleHii ni fursa kwa mafisadi wa CCM wachangamkie
Miundombonu umeona ni kwenye lami tu?Countries with the largest rail networks:
Airports
- United States - ~220,044 km (136,729 mi)
- China - ~159,000 km (98,798 mi)
- Russia - ~105,000 km (65,244 mi)
- United States: 16,116 airports
- Brazil: 5,297 airports
- Australia: 2,257 airports
Pamoja na yote bado ni ndoto za wengi kufika huko, utaona tu hiyo kadi itakavyopapalikiwa.Nani akaishi US nchi imekuwa kama South Africa?
Usalama hakuna, nchi hadi mtoto wa secondary ana bunduki, matukio ya mauaji ni kila siku, juzi hapa wamempiga risasi Trump, baadae yule Charlie kalengwa na yeye kafa.. nchi imekuwa ya kishenzi sana..
Hiyo hiyo mkuu, US ndio baba la dunia kwa nyanja kibao.USA ip,i hii ambayo mauaji ya kikatili, hadi school shooting ni habari za kawaida, orange man kaifanya Marekani kuwa nchi ya ovyo kabisa.
Siku wakiachia epstein file watu watakimbiana.
Juzi anasema anataka kuirudisha bagram airbase kule Afghanistan.
HIzi ni nyakati za giza.Mtu Yuko sinza au vikindu anasema trump kachanganyikiwa wakati unaishi kwenye nchi fukara huna lolote zaidi matacore
Bwana Xi enzi za ujana wakeXi na wenzake sio washamba wa Marekani
Marekani inatafuta mapato kwa lazima. Nimeona hata wale wa H-1B visa anawalamba $100,000
Living cost na usalama bado kipengele Marekani
Bwana Xi enzi za ujana wake