Trump aibadili jina Wizara ya Ulinzi Marekani kuwa Wizara ya Vita

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
DJT anaendelea kuwapeleka mbio Wamarekani, sasa Department of Defense(DoD) imekuwa Department of War(DoW)
 
Waziri wa Ulinzi sasa ataitwa Waziri wa vita
 
Kichaa..na waamerika takataka kama sisi mnakubalije ujinga kama huu! Lakini bahati nuri bunge or whatever wanaweza kumkatalia ujinga huo
 
Kichaa..na waamerika takataka kama sisi mnakubalije ujinga kama huu! Lakini bahati nuri bunge or whatever wanaweza kumkatalia ujinga huo
Bunge lao limejaa MAGA sasa hivi kila kitu cha Trump ni Yes
 
Yeah atachanganyikiwa uyu mzee ,nimeona kwenye reddit waandamanaji wamemkalia kohoni kweli kweli kuhusu zile Epstein files.

Hili swala linachafua sana taswira yake ya kisiasa kwa nchi yake,

 
Kuna faida au hasara gani za hiko alichofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…