Trump aitaka Ukraine ipige ndani kabisa ya Urusi, ikibidi Moscow!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu.

Sijui kwa nini sasa hivi wazungu ndio wameanza kuelewa uhuni wa Putin muda ukiwa umeshaenda sana na Ukraine ikiwa imechoshwa sana. Huyu Trump alianza kwa kujipendekeza kwa Putin akifikiri anamuheshimu kumbe alikuwa anachezwa Shere, sasa povu linamtoka.
20250715_180145.jpg
 
View attachment 3406935
Trump aliahidi kuvimaliza hivyo vita ndani ya muda mfupi sana ila kashakwama.

Aliibana Ukraine Ili kumridhisha Putin ila pia kakwama.
 
Hamna lolote yote hasira ya kubebwa eneo la madini mkakati hapo Ukraine na Russia.
Na hao NATO ndio wanatakiwa kulaumiwa kwa kumgombanisha mtu na nduguye.
Huyo Zelensky akithubutu kufanya wanavyosema hao NATO atateketea vibaya sana maana Putin hatocheka naye tena.
 
Unajua kilichotaka kutokea katika Cuban Missile Crisis ? (Ukiangalia hilo ndio utafahamu ni vigumu sana kwa USA na Russia kuingia katika Direct Confrontation) ; Russia pia anao wadau wa kuweza kupigana Proxy War na USA.....

Trump lazima aongee mambo mengi sasa hivi ili kuleta distraction hususan sasa hivi watu wanaulizia kuhusu Epstein Files ambazo wanazibania (kuweza kipata list ya Pedophiles) ukizingatia Trump alikuwa best wake huenda yumo...
 
Trump aliahidi kuvimaliza hivyo vita ndani ya muda mfupi sana ila kashakwama.

Aliibana Ukraine Ili kumridhisha Putin ila pia kakwama.
Kila wakimaliza kuongea na Putin kwenye simu kuhusu upatikanaji wa amani Putin ndio anaongeza mashambulizi zaidi kwa Ukraine🤣
 
Magaidi wa Ukraine walipopiga viwanja vya ndege vya Urusi wala Trump hakukemea wala kutoa kauli yoyote,Ila Putin akitoa dozi anasema Putin muhuni.
Putin muhuni kweli.
Na kama amemruhusu kupiga ndani kabisa ya Urusi asije kusema Putin ana roho mbaya.
Tukae tusibiri TU,hii ni Urusi bana, sio Libya wala Iraq.
 
Trump ana kisirani baada ya urusi kuchukua mikoa mingine 2 na kufikia 6

Ule mikataba aliosaini WA madini na Zelensky anaona kabisa huenda akaambulia patupu.

Maana aliongea na Putin Ile mikoa 4 amrudishie Ukraine ili yeye akachimbe madini ya bwerere.

Putin akagoma, kamwambia nae anataka akachimbe madini afidie gharama zake za vita.

Cha ajabu, anazidi kuchukua zaid mikoa.

Sasa hapo ni mgogoro WA maslahi
 
Trump mzee wa distraction kila mtu akimbana kuhusu hiki analeta story za kile..., ilivyokuja issue ya ugomvi na Musk aliqoute tweet kwamba Biden alishakufa tangia kitambo huyu aliyepo sasa ni Crone...; Sasa hivi kuna wadau wanauliza Epstein Files (his black book) iwe released watu waone ni kina nani wamo Trump kila leo analeta news za hapa na pale na kila akiulizwa anasema ni old news na fake news.. Kwa kupata muhtasari angalia hii (ingawa ni from a comedian lakini it paints a good picture)

View: https://youtu.be/lPGBi6_G6i4?si=BBhHUfyajxDOmBph
 
Alafu kuna kitu Putin anacho kinaitwa Oreshnik missile, kitu hypersonic, yaani unstoppable, hii kimewachanganya kabisa USA na NATO, alafu kinaenda not in a straight line, yaani its trajectory is unpredictable, alafu haikosi shabaha alafu ina multiple war heads, ngoja sijamaliza it can carry conventional and nuclear war heads, subiri namalizia uelewe speed yake, Oreshnik takes only 30 secs from launch to strike a target in Kiev…!!

Nyie nyie, wataalm na watengeneza silaha za kivita hasa US, wanaona kama uchawi huu, yaani devil in action, ni zaidi ya hatari..!!

View: https://youtu.be/LNc2H4HPCPQ?si=1H9zE4I6_AHhDYB4
 
Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu.

Sijui kwa nini sasa hivi wazungu ndio wameanza kuelewa uhuni wa Putin muda ukiwa umeshaenda sana na Ukraine ikiwa imechoshwa sana. Huyu Trump alianza kwa kujipendekeza kwa Putin akifikiri anamuheshimu kumbe alikuwa anachezwa Shere, sasa povu linamtoka.
View attachment 3406935

Mbona habari hizi zilikanushwa na Trump mwenyewe na
wasaidizi/wasemaji wake kwamba hata siku moja Trump hajawahi kutoa pendekezo/tamko kama hilo kwa Zelensky - halafu nyie mnatujia na habari/taarifa potofu ambazo hata Trump mwenyewe anazikanusha!! Lengo lenu ni lipi hasa?? Mnataka Dunia imchukulie Trump kwamba is too erratic, leo kaserma hili kesho kasema lile!!
 
Back
Top Bottom