Trump aliahidi kuvimaliza hivyo vita ndani ya muda mfupi sana ila kashakwama.Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu.
Sijui kwa nini sasa hivi wazungu ndio wameanza kuelewa uhuni wa Putin muda ukiwa umeshaenda sana na Ukraine ikiwa imechoshwa sana. Huyu Trump alianza kwa kujipendekeza kwa Putin akifikiri anamuheshimu kumbe alikuwa anachezwa Shere, sasa povu linamtoka.
View attachment 3406935
Hamna lolote yote hasira ya kubebwa eneo la madini mkakati hapo Ukraine na Russia.Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu.
Sijui kwa nini sasa hivi wazungu ndio wameanza kuelewa uhuni wa Putin muda ukiwa umeshaenda sana na Ukraine ikiwa imechoshwa sana. Huyu Trump alianza kwa kujipendekeza kwa Putin akifikiri anamuheshimu kumbe alikuwa anachezwa Shere, sasa povu linamtoka.
View attachment 3406935
Kila wakimaliza kuongea na Putin kwenye simu kuhusu upatikanaji wa amani Putin ndio anaongeza mashambulizi zaidi kwa Ukraineš¤£Trump aliahidi kuvimaliza hivyo vita ndani ya muda mfupi sana ila kashakwama.
Aliibana Ukraine Ili kumridhisha Putin ila pia kakwama.
Trump mzee wa distraction kila mtu akimbana kuhusu hiki analeta story za kile..., ilivyokuja issue ya ugomvi na Musk aliqoute tweet kwamba Biden alishakufa tangia kitambo huyu aliyepo sasa ni Crone...; Sasa hivi kuna wadau wanauliza Epstein Files (his black book) iwe released watu waone ni kina nani wamo Trump kila leo analeta news za hapa na pale na kila akiulizwa anasema ni old news na fake news.. Kwa kupata muhtasari angalia hii (ingawa ni from a comedian lakini it paints a good picture)Trump ana kisirani baada ya urusi kuchukua mikoa mingine 2 na kufikia 6
Ule mikataba aliosaini WA madini na Zelensky anaona kabisa huenda akaambulia patupu.
Maana aliongea na Putin Ile mikoa 4 amrudishie Ukraine ili yeye akachimbe madini ya bwerere.
Putin akagoma, kamwambia nae anataka akachimbe madini afidie gharama zake za vita.
Cha ajabu, anazidi kuchukua zaid mikoa.
Sasa hapo ni mgogoro WA maslahi
Katika kile kinachoonekana kama kubadikisha muelekeo wa mtizamo wake kuhusu vita vya uvamizi vya Urusi nchini Ukraine, inaelezwa Donald Trump ameanza kuipa msukumo Ukraine kushambulia popote ndani ya Ukraine huku akihoji uwezo wa kushambulia Moscow kama watapewa silaha za masafa marefu.