JF siku hizi kumejaa wapumbavu wengi kupita insta na fcb !Leo asubuhi majira ya SAA 4 asubuhi Rais wa marekani Amefanya ziara ya kushtukiza na kukamata magari 1000 ambayo yalitaka kutolewa bila kulipa kodi.
Amempa siku 2 mkuu wa bandari kuhakikisha mwenye magari hayo anafika whitehouse kujieleza kwanini asipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi iliyo Chicago
Maelezo zaidi yatafuata.
....nimepaona pa kutokea acha niendeumepotea, jukwaa mkuu