Trump akamata magari 1000 bandarini

Trump akamata magari 1000 bandarini

Compare apple with apple mifumo ya taasisi za US na Europe imejengeka kwa Muda mrefu sana na Kuna ufanisi mkubwa katika utendaji kazi wake uku Africa na TZ bado sana ndio maana kuiboresha viongozi wakuu lazima wafanye snap checks mara kwa mara kwa hiyo mkuu na PM wanavyofanya ni sahihi sana
 
Leo trump amefanya ziara ya ghafla Newyork airport , na kukutana mashine haifanyi kazi, amekasirika na kuamua kumtumbua manager wake, maelezo zaidi yanakuja.
 
Trump ametembelea bandari na kukuta magari ya hospitali ya Chicago ambayo yaliagizwa kwa jina la ofisi ya Rais iliyopo Washington ambayo Hayana Mwenyewe
 
Leo asubuhi majira ya SAA 4 asubuhi Rais wa marekani Amefanya ziara ya kushtukiza na kukamata magari 1000 ambayo yalitaka kutolewa bila kulipa kodi.

Amempa siku 2 mkuu wa bandari kuhakikisha mwenye magari hayo anafika whitehouse kujieleza kwanini asipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi iliyo Chicago


Maelezo zaidi yatafuata.
JF siku hizi kumejaa wapumbavu wengi kupita insta na fcb !
Bado na moderator uzi kama huu anauvumilia !
Hii ni kuishusha JF kupita kiasi.
 
JF siku hizi kumejaa wapumbavu wengi kupita insta na fcb !
Bado na moderator uzi kama huu anauvumilia !
Hii ni kuishusha JF kupita kiasi.
umepotea, jukwaa mkuu
 
Back
Top Bottom