Compare apple with apple mifumo ya taasisi za US na Europe imejengeka kwa Muda mrefu sana na Kuna ufanisi mkubwa katika utendaji kazi wake uku Africa na TZ bado sana ndio maana kuiboresha viongozi wakuu lazima wafanye snap checks mara kwa mara kwa hiyo mkuu na PM wanavyofanya ni sahihi sana