Trump akataa kusema kama anapanga kuivamia Iran, asema Tehran inataka kujadiliana

Trump akataa kusema kama anapanga kuivamia Iran, asema Tehran inataka kujadiliana

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa kusema iwapo atauamuru mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, licha ya kutoa kauli hapo jana zilizoashiria kuwa anaelekea kufanya hivyo.

“Naweza kufanya hivyo. Naweza pia nisifanye. Hakuna anayejua nitakachofanya,” Trump aliwaambia waandishi wa habari nje ya Ikulu ya White House.

Alielezea masikitiko yake kuwa Iran ilipaswa kukubaliana na mkataba wa nyuklia kabla ya muda wa siku 60 aliotoa kumalizika wiki iliyopita.

Trump alisifu shambulio lililofanywa na Israel mara tu muda huo ulipoisha, akisema:
“Ilikuwa ni shambulio la nguvu sana... Kwa kweli haliwezi kuendelezwa. Ndipo lilipoishia – lilimalizika usiku wa kwanza,” bila kutoa maelezo zaidi.
=================
US President Donald Trump declines to say whether he will order a strike on Iran’s nuclear facilities after making comments yesterday that indicated that he was leaning in that direction.

“I may do it. I may not do it. Nobody knows what I’m going to do,” Trump tells reporters outside the White House.

He laments that Iran should have agreed to a nuclear deal before his 60-day deadline that expired last week.

Trump marvels at the Israeli strike that was carried out once that deadline expired. “That was one hell of a hit… Not sustainable, to be honest. That’s where it ended. It ended on the first night,” he says, without elaborating.

He describes Iran as totally defenseless, with no air defense whatsoever, adding that he has since given Tehran the “ultimate ultimatum.”

The president claims that Iran is now interested in negotiating and has even suggested coming to the White House in order to do so.

But Trump indicates he may no longer be interested. “It’s very late for talking,” he says, reiterating that what he now wants is Iran’s “unconditional surrender.”

“Then we go blow up all the nuclear stuff [in Iran],” he says.

.
 
Walipue tu hiyo mitambo ya nyuklia na hiyo serikali iondolewe madarakani ili amani iwepo mashariki ya kati.
 
Walipue tu hiyo mitambo ya nyuklia na hiyo serikali iondolewe madarakani ili amani iwepo mashariki ya kati.
Amani inavurugwa na Israel? Huoni ina support magaidi ya Sudan yaani RSF, HTS na SDF huko Syria. Hivi unajua Israel ndio walianzisha Hamas ili kumpunguza nguvu Yasser Arafat!! Si unaona Syria imemaliza tu vita ila Israel inawavuruga kwa kutaka ku paralyse silaha zao zote.
 
Back
Top Bottom