sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.