Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Waleteni Tanzania hao wapelestina. Tukawaoe Binti zao na wao waoe Binti zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaesema yupo Tandahimba na ameshindwa kujisemea ili serikali yake imletee maji.Kwao ni wapi mkuu?
Usichokijua usa anaangalia misri kama sehem ya isreael na kuna maelekezo huwa yanatokea televive ndo maana israel na misri ni miongoni mwa nchi mbili ambazo hazikujatiwa msaada .. western ndo waankitaka hicho wakuwekee kiganjani na wamefanikiwa kwa jordan imarate misri na saudi ukishaakula vya watu ni lazima ulipia . Huu ujinga ndo iran aliikataa kata kata kulamba miguu ya westernMisri na Jordan nazo Zina rais ambaye ana mamlaka kwa hiyo hawezi kuwapa amri ya kuwachukua Wapalestina.
Nani kakupa mamlaka ya kuua wapalestina wote huko Gaza? Au kuna babu yako mmeongea nae kasema wauliwe wote?Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
Ila akitukana mashoga mnamshangilia na kumuita the best president ever, subirini dawa iwaingieHuyu mzee Huwa ana mania yeye ni kulopoka na kujiona yupo sawa Kwa Kila kitu.
Jangwa la sahara lina wenyewe sio sehemu unaweza kwenda tuuWawapeleke jangwa la sahara waunde nchi yao wakae kwa amani
Waisrael ndio Tramp atawachukua kutoka apa Palestina na kuwapeleka marekani na kwenginekoUsiropoke kama huna ufahamu.
Judah Kingdom na Israel Kingdom, ndizo zilizokuwepo hapo tangu nyakati za kabla ya Kristo. Wewe leo kuishi Zenji wakati kwenu ni Kigoma, na kuna ardhi yako, hata ukifia huko Zenji, hakufuti haki ya watoto wako kurudi Kigoma kwenye eneo lao la urithi ambalo wewe baba yao ulilimiliki.
Wapalestina, kabila jipya, wana machaguo mawili tu, moja ni kuishi kwa amani bila fujo na wamiliki asilia wa Judah kingdom, au kuondoka na kuishi popote ambapo watapata amani ya mioyo yao.
Waafrika waliopelekwa USA kupitia biashara haramu ya mwarabu ya utumwa, hata baada ya biashara hiyo kufutwa, wapo ambao hawakupenda kuishi na Wamarekani mabwana wao wa wakati wa biashara ya utumwa, wapo walioamua kukubali yaliyotokea na kuendelea kuishi na waliokuwa mabwana zao, lakini sasa wakiwa huru. Hao walibakia USA mpaka leo. Ambao hawakutaka, walitafutiwa eneo huko Afrika Magharibi, na leo ndiyo nchi inayoitwa Liberia.
Wapalestina wanaokubali kuishi na Waisrael, waendelee na maisha, na wao wawe ni raia wenye haki zote ndani ya Israel. Hamas na waungaji mkono wao, watafutiwe eneo hata huko Sinai, wakatengeneze Taifa lao kama ilivyotokea kwa Liberia au Australia.
Wakorofi wa UK, walipelekwa Australia, leo Australia ni miongoni mwa mataifa bora.
Numesoma nikaelewa, kwani wewe ni msemaji wa wapalestina hadi useme hawako tayari kuhama labda wauawe wote?uwe unasoma vizuri mada na kuielewa.
Pilipili usizozila zakuwashia nini. Waarabu wako kimya we wawashwa na nini mwarabu wa buza?. Eti haiwezekani, we pambana na huo ufukara wa kwenuAlipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
Rais wa dunia kaongea nani wa kubisha?Kwani hao wapalestina Gaza kwao? Ni hisani ya Israel kuwapa Gaza na wakizingua anawatandika mpaka akili ziwakae sawa! Mxiuuuuh!😒😣
Kuwaondoa ni tofauti na kuwauaAtauwa watu zaidi ya mill 2?.
Kuna neno linaitwa utopia ndicho ulichoandika. Kwa hiyo Burundi na Rwanda ni sehemu ya Tanzania maana Tanganyika ya Mjerumani hao wote walikua sehemu ya Tanzania. Vikiria tena vizuri kabla hujaandika article ingineUsiropoke kama huna ufahamu.
Judah Kingdom na Israel Kingdom, ndizo zilizokuwepo hapo tangu nyakati za kabla ya Kristo. Wewe leo kuishi Zenji wakati kwenu ni Kigoma, na kuna ardhi yako, hata ukifia huko Zenji, hakufuti haki ya watoto wako kurudi Kigoma kwenye eneo lao la urithi ambalo wewe baba yao ulilimiliki.
Wapalestina, kabila jipya, wana machaguo mawili tu, moja ni kuishi kwa amani bila fujo na wamiliki asilia wa Judah kingdom, au kuondoka na kuishi popote ambapo watapata amani ya mioyo yao.
Waafrika waliopelekwa USA kupitia biashara haramu ya mwarabu ya utumwa, hata baada ya biashara hiyo kufutwa, wapo ambao hawakupenda kuishi na Wamarekani mabwana wao wa wakati wa biashara ya utumwa, wapo walioamua kukubali yaliyotokea na kuendelea kuishi na waliokuwa mabwana zao, lakini sasa wakiwa huru. Hao walibakia USA mpaka leo. Ambao hawakutaka, walitafutiwa eneo huko Afrika Magharibi, na leo ndiyo nchi inayoitwa Liberia.
Wapalestina wanaokubali kuishi na Waisrael, waendelee na maisha, na wao wawe ni raia wenye haki zote ndani ya Israel. Hamas na waungaji mkono wao, watafutiwe eneo hata huko Sinai, wakatengeneze Taifa lao kama ilivyotokea kwa Liberia au Australia.
Wakorofi wa UK, walipelekwa Australia, leo Australia ni miongoni mwa mataifa bora.
Mwingereza wa buza, kwa hiyo unajua kiingereza kuliko lugha ya Taifa lako siyo? Mswahili akitaka kuandika jambo la kipumbavu hutumia kiingerezaKiswahili mkuu, some autocorrect na mengineyo, in short, Trump want to relocate Palestinians from gaza to Egypt and Jordan. This is ethnic cleansing and it won’t be accepted. Whatever favor he did to those countries, should remain on them and not Palestinians. That is their land and it will remain so.
Unaondoaje watu waliokataa kuondoka?.Kuwaondoa ni tofauti na kuwaua