Atauwa watu zaidi ya mill 2?.Kwani hao wapalestina Gaza kwao? Ni hisani ya Israel kuwapa Gaza na wakizingua anawatandika mpaka akili ziwakae sawa! Mxiuuuuh!😒😣
Uzi umejaa makosa ya kiuandishi mpka inakera kusoma, uzi ni wa kwako haraka na hasira za nini mpaka unashindwa kueleweka ulitaka kuandika nini?Alipokua aliulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kuaiaituza maimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kuahirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameisho hapi vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
Kiswahili mkuu, some autocorrect na mengineyo, in short, Trump want to relocate Palestinians from gaza to Egypt and Jordan. This is ethnic cleansing and it won’t be accepted. Whatever favor he did to those countries, should remain on them and not Palestinians. That is their land and it will remain so.Uzi umejaa makosa ya kiuandishi mpka inakera kusoma, uzi ni wa kwako haraka na hasira za nini mpaka unashindwa kueleweka ulitaka kuandika nini?
Alipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
Haya na nyie wabantu rudini Gabon mana ndiko mlikotokea.Usiropoke kama huna ufahamu.
Judah Kingdom na Israel Kingdom, ndizo zilizokuwepo hapo tangu nyakati za kabla ya Kristo. Wewe leo kuishi Zenji wakati kwenu ni Kigoma, na kuna ardhi yako, hata ukifia huko Zenji, hakufuti haki ya watoto wako kurudi Kigoma kwenye eneo lao la urithi ambalo wewe baba yao ulilimiliki.
Wapalestina, kabila jipya, wana machaguo mawili tu, moja ni kuishi kwa amani bila fujo na wamiliki asilia wa Judah kingdom, au kuondoka na kuishi popote ambapo watapata amani ya mioyo yao.
Waafrika waliopelekwa USA kupitia biashara haramu ya mwarabu ya utumwa, hata baada ya biashara hiyo kufutwa, wapo ambao hawakupenda kuishi na Wamarekani mabwana wao wa wakati wa biashara ya utumwa, wapo walioamua kukubali yaliyotokea na kuendelea kuishi na waliokuwa mabwana zao, lakini sasa wakiwa huru. Hao walibakia USA mpaka leo. Ambao hawakutaka, walitafutiwa eneo huko Afrika Magharibi, na leo ndiyo nchi inayoitwa Liberia.
Wapalestina wanaokubali kuishi na Waisrael, waendelee na maisha, na wao wawe ni raia wenye haki zote ndani ya Israel. Hamas na waungaji mkono wao, watafutiwe eneo hata huko Sinai, wakatengeneze Taifa lao kama ilivyotokea kwa Liberia au Australia.
Wakorofi wa UK, walipelekwa Australia, leo Australia ni miongoni mwa mataifa bora.
Wapalestina kwao wapi? Na hapo Gaza kwa Nini?Kwani hao wapalestina Gaza kwao? Ni hisani ya Israel kuwapa Gaza na wakizingua anawatandika mpaka akili ziwakae sawa! Mxiuuuuh!😒😣
Hiyo kauli amenichekesha sana ni kwamba anawatisha wakiendelea kukataa atazuia kuwapa anavyowapaga ngoja tuoneAmesema “ wamewafanyia mengi”
Tena pumba za kula nguruwe kwa vle amesema Trump so akikuagiza ulale na mama yako kwako poa tu japo wauliwe lakini haweZ kuwaondoa ety mashogabzke wazidi kukaa paleKwa hyo anachosema trump hata kama ww ulale na mama yakoHaya na nyie wabantu rudini Gabon mana ndiko mlikotokea.
Mtu mzima unaandika pumba
Israel nani aliwapa Gaza?Kwani hao wapalestina Gaza kwao? Ni hisani ya Israel kuwapa Gaza na wakizingua anawatandika mpaka akili ziwakae sawa! Mxiuuuuh!😒😣
Israel Gaza walipapataje?Kwani hao wapalestina Gaza kwao? Ni hisani ya Israel kuwapa Gaza na wakizingua anawatandika mpaka akili ziwakae sawa! Mxiuuuuh!😒😣