Usiropoke kama huna ufahamu.
Judah Kingdom na Israel Kingdom, ndizo zilizokuwepo hapo tangu nyakati za kabla ya Kristo. Wewe leo kuishi Zenji wakati kwenu ni Kigoma, na kuna ardhi yako, hata ukifia huko Zenji, hakufuti haki ya watoto wako kurudi Kigoma kwenye eneo lao la urithi ambalo wewe baba yao ulilimiliki.
Wapalestina, kabila jipya, wana machaguo mawili tu, moja ni kuishi kwa amani bila fujo na wamiliki asilia wa Judah kingdom, au kuondoka na kuishi popote ambapo watapata amani ya mioyo yao.
Waafrika waliopelekwa USA kupitia biashara haramu ya mwarabu ya utumwa, hata baada ya biashara hiyo kufutwa, wapo ambao hawakupenda kuishi na Wamarekani mabwana wao wa wakati wa biashara ya utumwa, wapo walioamua kukubali yaliyotokea na kuendelea kuishi na waliokuwa mabwana zao, lakini sasa wakiwa huru. Hao walibakia USA mpaka leo. Ambao hawakutaka, walitafutiwa eneo huko Afrika Magharibi, na leo ndiyo nchi inayoitwa Liberia.
Wapalestina wanaokubali kuishi na Waisrael, waendelee na maisha, na wao wawe ni raia wenye haki zote ndani ya Israel. Hamas na waungaji mkono wao, watafutiwe eneo hata huko Sinai, wakatengeneze Taifa lao kama ilivyotokea kwa Liberia au Australia.
Wakorofi wa UK, walipelekwa Australia, leo Australia ni miongoni mwa mataifa bora.
Waisrael ndio Tramp atawachukua kutoka apa Palestina na kuwapeleka marekani na kwengineko
eneo lile sio la Wazungu acha kuota wewe kijana!! akuna mpalestine ataondoka ktk Ardhi yake
. AKILI awana Wazungu wameshindwa vitani sasa wanatumia midomo kutoa matamko debe tupu!! Je wataenda kupigana!!!
Ule mfupa mgumu Tramp Atakwama na kumfanya azeeke kwa kasizaid
uyu Tramp ni mlokole kipindichake chamwanzo alikuja na azimio lake ETI mpango wa Aman ya mashariki ya kati Watu wakamgomea
sasa tena anakuja na Tamko Japo ule w mwanzo ulipangwa kisomi kidogo ule mpango akimtumia mkwe wake kufanikisha
lkn sasaivi i!! kaja na MATAMKO MAREKANI na uyo Israel kwasasa weupe tu wachumba Wameishiwa akili kwasasa awana Air Defences Systems yoyote ya kushindana na Wahuni kama Myemen IRAN
kazi kwao wakitaka vita Yemen wapo Tayali wataendelea kupiga wapendapo ndani ya Israel!!!
huu ushenzi wao walitakiwa wafanye miaka 20 uko nyuma!!! Sio sasa kwasasa Israel na Marekani wanapigika Wachovu tu!!!
Lkn lengine yumkin Israel na Tramp wanacheza ngoma moja ipo ivi kwasasa Israel inasumbuliwa na furahaa za kushangilia Ushindi wa Palestina yumkin Tramp anacheza mchezo wa kisaikolojia kwa Dunia na Wapalestina wanaoshangilia!!!
wajue picha alijaisha kipropaganda!! lkn akuna wakwenda Gaza Wapalestina wapo tayali kwa lolote ndiomana awakuomba pooo baada ya vifo vyao vya watu 46000!!
watapambana upya na mpalestine kufa sio jambo kubwa kwake !!! ISRAEL ikishambulia kwa Anga nayeye atapigwa kutokea YEMEN
KUna ile promis no3 itatumiwa kupiga maeneo nyeti ambayo kwasasa silaha zinazotoka Marekani zinawekwa uko Promis no 3 itaiyacha Israel taabani upande wa silaha!!
Lkn ikiwa Israel itakiuka ndio mana Hamas
WaKataka Nchi zengine zakuzamini MKATABA uki kiuikwa kwanza Hamas itaongea na Nchi zile ikiona kimya nao watatakiwa waandike kwamaandishi kuwa kweli Mkataba Umekiukwa
kwenye mkataba Waisrael wamepewa vipengele kibao iliwemo vyakula maji mafuta matibabu Ujenzi mpya wa Gaza
na muimu zaid Israel iwache UGAID wa kuwachukua Wapalestina mateka na Gaza kutokushambuliwa ,,,, ukiukaji wowote w kipengele chochote kunaweza kusababisha vita upya !!!
Nawakumbusha ili HAMAS awashindwi kwenda kuchukua upya Mateka uko Israel Wanajesh wanaoilinda Israel yani IDF imejulikana Wanawaogopa WaJuba wa Hamas. Ujumbe wa leo Izi kelele z Trump debe tupu!!!