fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Hii haitawezekanaAlipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
Inaonekana wew ni shoga, maana mtu kuongelea ushoga sana means na yeye anaupenda huo ushoga.Ila akitukana mashoga mnamshangilia na kumuita the best president ever, subirini dawa iwaingie
Mwarabu wa kamachumu akimjibu trump kwa kutumia jf huku anatufokea ila watu wa chuo cha madrasa bhanaAlipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
Hawana akili ndo chanzo cha machafuko huko lebanonHakuna atakayepokea hayo mazombi ya dini, yaje kulipuka lipuka mabomu, sio mara ya kwanza Wapalestina kuhamishwa sehemu na kuanza uasi wa kidini
Inatakiwa kuwapisha watu waliotoka brooklynAlipokua akiulizwa kuhusu kauli yake alioitoa kuhusu kuhamishwa kwa wapalestina walioko Gaza, aliendelea kisisitiza msimamo huo.
Muda utatuambia kua huyu mzee hamnazo kabisa, kama lengo lake ni kushirikiana na wazayuni awatoe wapalestina gaza, amechelewa sana na haiwezekani.
Haiwezekani mtu wameishi hapo vizazi na vizazi leo aondolewa aje aishi mtu alietoka Brooklyn kwa kigezo cha “promise land”. Haiwezekani.
Ni EITHER WAPALESTINA WAISHI GAZA AU WAWAUE WOTE,HAKUNA ATAKAE KUBALI KUONDOKA. Kama anataka hivyo, awapeleke waisrael Iceland. Problem solved.
wewe unaishi sayari ipi ?? au msitu upi ??Kwani hao wapalestina Gaza kwao? Ni hisani ya Israel kuwapa Gaza na wakizingua anawatandika mpaka akili ziwakae sawa! Mxiuuuuh!😒😣
Mwafrika ana mawazo ya ngono tu , na CCM ameshawaelewa ndio kwenye kampeni zake ni ngoma na kukesha usiku watu na ngoma , kunywa pombe na kufanya zinaa , hamjui chengine mwisho wa siku anaingiza magunia ya kura fekiWaleteni Tanzania hao wapelestina. Tukawaoe Binti zao na wao waoe Binti zetu.
I like your EnglishKiswahili mkuu, some autocorrect na mengineyo, in short, Trump want to relocate Palestinians from gaza to Egypt and Jordan. This is ethnic cleansing and it won’t be accepted. Whatever favor he did to those countries, should remain on them and not Palestinians. That is their land and it will remain so.