ni kipi waafrika wanakiweza!? labda wizi wa mali ya ummaTarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Je, PK ni moto katika nchi zetu hizi?
Vingi tu ila vinavyohusu Sehemu za Siri vinachukua nafasi kubwani kipi waafrika wanakiweza!?
Swala la muda tu wakubwa watakaa kujadili bara lote la Afrika na nchi zote omba omba, watutawale vipi halafu kila kitu watatoa bure kwa masharti fulani.Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa, kuzuia wazungu wasitutawale tena?
Kama tu migogoro yetu mpaka iamliwe na wazungu, tunalipi sasa?
Waafrika hawana uwezo wa kujitawala.Mimi nauliza, hivi ni kweli kabisa Africa inajitawala?
Africa bado tunatawaliwa na wazungu kupitia ukoloni mambo leo. Ikitokea raisi wa nchi akaupinga huo mfumo maisha yake yanakuwa hatarini. Eg ibrahim traole n.kTarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa, kuzuia wazungu wasitutawale tena?
Kama tu migogoro yetu mpaka iamliwe na wazungu, tunalipi sasa?
DRC wamepigana na kuuana Tangu Kagame akiwa mtoto wa Mwaka 1.Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa, kuzuia wazungu wasitutawale tena?
Kama tu migogoro yetu mpaka iamliwe na wazungu, tunalipi sasa?
Una hoja nzuri, ila umeamua kujiziba masikio usisikie kile Trump anasema kuhusu Kagame?DRC wamepigana na kuuana Tangu Kagame akiwa mtoto wa Mwaka 1.
Acheni visingizio kwa Kagame.
Tujikite Kutafuta namna ya kuborshe maisha ya watu wetu umasikini wa kutupwa, Huduma bora za afya. Elimu Duni Rushwa na ufisadi uliokithiri au na hivi vyote ni Kagame amesababisha?
Huu mfano wako mkuu, mbona haviendani na hoja iliyopo mezani?DRC wamepigana na kuuana Tangu Kagame akiwa mtoto wa Mwaka 1.
Acheni visingizio kwa Kagame.
Tujikite Kutafuta namna ya kuborshe maisha ya watu wetu umasikini wa kutupwa, Huduma bora za afya. Elimu Duni Rushwa na ufisadi uliokithiri au na hivi vyote ni Kagame amesababisha?
Kila tendo la ndoa huwa na kondomu yake,hurudii kondomuDRC wamepigana na kuuana Tangu Kagame akiwa mtoto wa Mwaka 1.
Acheni visingizio kwa Kagame.
Tujikite Kutafuta namna ya kuborshe maisha ya watu wetu umasikini wa kutupwa, Huduma bora za afya. Elimu Duni Rushwa na ufisadi uliokithiri au na hivi vyote ni Kagame amesababisha?
Kama wamekuwa wakipigana wenyewe kwa wenyewe , kwa nini PK aingilie kati huo ugomvi kwa kisingizio cha kutetea kabila lake lililo ndani ya nchi nyingine. Yeye amekuwa nani?DRC wamepigana na kuuana Tangu Kagame akiwa mtoto wa Mwaka 1.
Acheni visingizio kwa Kagame.
Tujikite Kutafuta namna ya kuborshe maisha ya watu wetu umasikini wa kutupwa, Huduma bora za afya. Elimu Duni Rushwa na ufisadi uliokithiri au na hivi vyote ni Kagame amesababisha?
si nchi zote afrika zitaunga mkono kumuadabisha kagame...kuna nchi zitaungana na rwanda kitakachotokea hapo ni majuto ni mjukuuTarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii
Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa kuadabishana mpaka tuingiliwe na watu dunia ya mbaali huko?
Kama ndivyo, Je, Africa inaouwezo sasa, kuzuia wazungu wasitutawale tena?
Kama tu migogoro yetu mpaka iamliwe na wazungu, tunalipi sasa?
Na iwe hivyo hata leo, ni heri hao kuliko hawa wa kwetu, hao wa dunia ya mbali wanajali afya zetu, wanajali usalama wetu, wanajali uchumi wetu, wanatusaidia kwa vyote hivyo, halafu hawa wa kwetu wanaviiba na kutafuna na familia zao,kinachobaki wanakibeba na kukipeleka huko huko kwa waliotusaidia wakiomba wasaidiwe KUFICHA. What a mess?Swala la muda tu wakubwa watakaa kujadili bara lote la Afrika na nchi zote omba omba, watutawale vipi halafu kila kitu watatoa bure kwa masharti fulani.
Mkuu hakuna mtu anajali mtu pasipo maslahi mzungu anapokuja kwenye nchi kwa minajili ya kusaidia amenusa fursa au anaitafuta. Mtu anaeweza kusaidia nchi ni wananchi wakiweka nguvu zao pamoja na viongozi wao. Tatizo ninaloliona ni wananchi kuacha kuhoji mambo yanayowahusu kwa kudhani kuwa somebody will do it. Nchi zetu umma hauna nguvu ndio maana hata kiongozi wa ngazi ya chini anaweza kutamka kauli tata na watu wamebung'aa tuu bila kuhoji.Na iwe hivyo hata leo, ni heri hao kuliko hawa wa kwetu, hao wa dunia ya mbali wanajali afya zetu, wanajali usalama wetu, wanajali uchumi wetu, wanatusaidia kwa vyote hivyo, halafu hawa wa kwetu wanaviiba na kutafuna na familia zao,kinachobaki wanakibeba na kukipeleka huko huko kwa waliotusaidia wakiomba wasaidiwe KUFICHA. What a mess?