Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Huu ni kama mchezo mgumu wa drafti unaochezwa kwa viwango vya juu sana.
Trump analejerea ugumu wa vita ya Iran kwa hapo ilipofikia. Ni wazi Rais Trump matarajio yake yalikuwa kuiona Iran ikisalimu amri ndani ya siku chache tu baada ya vita kuanza, matarajio hayo yalijikita kwa kufanikisha malengo makubwa ikiwemo kuangamiza uongozi wote wa juu.Ni wachezaji waerevu sana. Hawa ni watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria. Vingenevyo wasingeweza kufika hapo walipo.
πππWayahudi wa buza wao wanasemaje?
π―π―ππ¨π¨Kiburi ni yeye anayedhani maraisi wenzake ni watoto wa chekechea kwamba anaweza kwenda kuwakamata na kuwaua atakavyo
Kiburi ni yeye anayedhani kuwa ma ndege yake yanaweza kufanya chochote na nchi nyingine hawana ubongo wa kufikiri zaidi ya wamarekani na waizrael
Kiburi ni yeye anayetumia ardhi za nchi nyingine kushambulia nchi nyingine na sasa base zote za kiarabu zimepigwa na hana ujanja tena
Inabidi wamfundishe adabu kwa kurusha makombora kwake moja kwa moja , waachane na izrael sasa waelekeze kwake
Wairani wa Vingunguti na Waisrael wa Tandale maoni yao yanasemaje humu jamvini.Hii ni kwenye mahojiano na Waandishi siku ya jana ambapo rais Donald Trump alikiri kuwa changamoto ya kuishughulikia Iran sio rahisi kama wengi wanavyodhani kwani yupo kwenye hali inayomfanya ashindane na watu anaodai
Trump analejerea ugumu wa vita ya Iran kwa hapo ilipofikia. Ni wazi rais Trump matarajio yake yalikuwa kuiona Iran ikisalim amri ndani ya siku chache tu baada ya vita kuanza, matarajio hayo yalifanya kwa kuanza na kufanikisha malengo makubwa ikiwemo kuangamiza uongozi wote wa juu.
Kutokea kwa kizazi kipya chenye msimamo ule ule wa kile kilichoondoka kumefanya vita ya Iran ichukue sura mpya.
Hii vita ina harasa kubwa sana kwa uchumi wa dunia, kwa namna yeyote hakuna anyetaka iendelee kuwepo, si Marekani, si Iran wala wanachma wengine wa jumui ya kimataifa. Changamoto ya kuimaliza hii vita ipo kwenye kiburi au kukosekana kwa chaneli ya kuwasiliana.
- Nani atakaenza kumfata mwenzake na kumtaka wakae mezani kwa mazungumzo na unampata vipi mwenzako mzungumze?
- Makubaliaono yatakuwa yapi?
- Je Iran itakubali kuacha mpango wake wa Nyukria?