Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfumo wa ajira marekani ni mzuri sana, sijui kwanini nchi zetu hazijifunzi na kuigaHii ni kwa marekani ambako kila baada nyumba moja unaona Bango la mtu anatafuta vibarua(watu wa kufanya kazi) si Africa na kwingine.
Mi Nadhani tatizo si mfumo wa ajira bali AJIRA yenyewe ndiyo tatizo Africa.Mfumo wa ajira marekani ni mzuri sana, sijui kwanini nchi zetu hazijifunzi na kuiga
Maskini huwa mna mtindio wa ubongo kwa hiyo wanaume wote wa usa in mapunga?Watazaa na nani sasa ikiwa wanaume nao wanataka kuwa wanawake?
Hakuna aliyesoma wote! Huenda wewe ndio una mtindio wa ubongo kwa kutoelewa tofautiMaskini huwa mna mtindio wa ubongo kwa hiyo wanaume wote wa usa in mapunga?
"Fyatueni nipo nitawasomesha"In magufuri's voice...
"Zaeni watoto wengi ili tuwe na maendeleo"
Hapo sasaWatazaa na nani sasa ikiwa wanaume nao wanataka kuwa wanawake?
Kuzaa ni lazima nyie Africa endeleeni kula vidonge, baba yangu aliniambia "mkiwa wengi raha" natamani nifikishe 10 watoto nitawalea vyema sanaNchi zote mwisho wa siku zitalipa ili watu wazae.
Vijana ndo nguvu kazi ya nchi, bila vijana maana yake utakuwa ma wazee wengi ambao wamahitaji tunzwa