Trump alikuwa na mpango wa kulipa wanaozaa watoto wengi

Nchi zote mwisho wa siku zitalipa ili watu wazae.

Vijana ndo nguvu kazi ya nchi, bila vijana maana yake utakuwa ma wazee wengi ambao wamahitaji tunzwa
 
Hii ni kwa marekani ambako kila baada nyumba moja unaona Bango la mtu anatafuta vibarua(watu wa kufanya kazi) si Africa na kwingine.
Mfumo wa ajira marekani ni mzuri sana, sijui kwanini nchi zetu hazijifunzi na kuiga
 
Maskini huwa mna mtindio wa ubongo kwa hiyo wanaume wote wa usa in mapunga?
Hakuna aliyesoma wote! Huenda wewe ndio una mtindio wa ubongo kwa kutoelewa tofauti
 
In magufuri's voice...

"Zaeni watoto wengi ili tuwe na maendeleo"
 
Nchi zote mwisho wa siku zitalipa ili watu wazae.

Vijana ndo nguvu kazi ya nchi, bila vijana maana yake utakuwa ma wazee wengi ambao wamahitaji tunzwa
Kuzaa ni lazima nyie Africa endeleeni kula vidonge, baba yangu aliniambia "mkiwa wengi raha" natamani nifikishe 10 watoto nitawalea vyema sana
 
Trump ni mwendawazimu na mwenye hulka zote za madikteta vichwa panzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…