Trump alimpenda Ayatollah, alizuia Israel wasimuue lakini alijisifu hagusiki

Trump alimpenda Ayatollah, alizuia Israel wasimuue lakini alijisifu hagusiki

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Vita ya mwaka jana, siku ta 12 Trump alipopata taarifa Israel inaenda kumtandika Ayatollah, alinyanyua simu na kumbembeleza Netanyahu wageuze ndege vitaa iishe.

Muda huo taari Israel walikuwa na uwezo wa kufanya chochote kwenye anga la Iran, tayari walikuwa wameweza kuwaua wakuu wakubwa wa jeshi akiwemo mkuu wa jeshi la Iran.

Maamuzi haya ya Trumo yakageuka kebehi kwake kwamba ni muoga bila kujua ni huruma yake ndio ilimfanya Ayatollah asizikwe mwaka jana.

Baada ya hapo Trump akampa nafasi nyingine Ayatollah kukubali aachane na nuclear, Ayatollah alikuwa mbishi na ndicho kimegharimu maisha yake pamoja na viongozi wengi wakubwa wa jeshi la Iran,

Isael waliporuhusiwa KUENDELEA WALIPOISHIA wala hawakupoteza muda, wamemuua ndani ya sekunde 60
 
Iran imepokea kofi zito kama hili kutoka kwa US & Israel. Yani kiongozi wa nchi anauliwa day one ya vita? Aibu sana
Hata mashabiki wa Iran kamdomo kamepungua
 
Hayo mambo umeyajulia wakati upo kwenu hukohuko Nchimbaunye au?
Screenshot_2026-03-02-04-25-10-997_com.whatsapp~2.jpg
Screenshot_2026-03-01-22-03-58-085_com.whatsapp~2.jpg
 
Back
Top Bottom