The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Naam wakuu zile mbwembwe za Trump kujifanya na urafiki na Putin ilikuwa lengo lake kuu ni kuharibu uhusiano wa China na Russia.
Trump alitaka kuitumia Russia kitenge china na kuhamia usuhuba wake America.
Hii ni kutokana na Trump anaigopa nguvu ya kiuchumi inayokua kwa kasi ya china lakini Russia chini ya putin wanajua America ni mnafiki maana yake mwisho baada ya kuharibu udafiki wake na china angemtenga hivyo Putin akasema no.
Putin anajua kabisa akufae kwa ziki ndio wako rafiki mana yake china hajaamuacha mkono Russia licha ulaya na mume wao America kumtenga