Anajua kabisa hao wawili ni waanzilishi wa brics family,alafu anataka watenganisha,ameula wa chuya,,na urusi na china wanajua na ndivyo ilivyo,ile ***** ***** ya mashariki ya kati, kuanzia iraki, Syria,lebanon na hivi karibuni Iran,,hayo yote ni matawi tu,lengo wayafikie hayo mashina mawili (China na urusi) ndo watakua wamemaliza mpango wao,ndo maana na kule wanachokonoa ( Ukraine na Taiwan), lkn hawatafanikiwa,pale mashariki ya kati tayari iran ni kigingi kikali, ngoja tuone yajayo yatafurahisha.