Trump amechomoa betri ghafla, serikali za Afrika zenye viongozi walioshindwa kutumia rasilimali za nchi zao hawajui nini wafanye

Nchi imejaa matumizi makubwa ya anasa na misafara ya kijinga kabisa utadhani tupo vitani
 
Wapumbavu, upumbavu ni kipaji unakuta mtu amebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi wake, a.k.a kujizima data
Hawezi tekeleza sababu kila mtu anafanya kazi kwa maelekezo ya boss, nchi inaendeshwa kwa maono ya Rais na siyo kwa utalaamu
 
Kwa nini wasijue? Wewe Huwa unalishwa na Trump?
 
Samia suluhu amekuwa akipewa udaktari wa heshima kila uchwao, sasa ni wakati wake wa kuonesha ana uwezo wa kuendesha nchi kwa kutumia resources zetu pasipo kutegemea mbereko za wazungu na wachina.
 
Na bado Choice Variables anajiandaa kutoa post ya kumsifia mama soon
 
Kudos kwa Trump. Haya mambo yalipaswa kufanyika tangu miaka mingi, sasa tungekuwa na akili. Utasaidiaje watu wenye hela nyingi mpaka wanaweza kulipa millions kwa kila goli linalofungwa kwenye mechi ya mpira?
 
Haya tunasubiri chawa waje kuanza kusema hawa mabeberu wazuie misaada ya kibeberu.

Ukiongoza kwa kuwasikiliza machawa unakutana na Donald Trump, muende mkaombe misaada Urusi wao siyo mabeberu bloody goodmorning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…