Trump amechomoa betri ghafla, serikali za Afrika zenye viongozi walioshindwa kutumia rasilimali za nchi zao hawajui nini wafanye

Mikopo ni biashara ya kupatia 10% robo tatu ya pesa za mikopo zinarudishwa nje kufichwa kwenye mabenk yao na wezi wa Africa na hili sio kwamba hawajui bali ni mkakati wa kuidumaza Africa itegemee misaaada izidi kuwa masikini.
Wamepigiwa sana kelele wakitaka kuisaidia Africa wakabidhi miradi wao wenyewe wasitoe pesa kama alivyofanya japani alijenga mwenyewe shule za msingi au madaraja maana akipewa mswahili ataenda nunua malori au mabus na sio kuzifikisha kwa walengwa
Nchi imejaa matumizi makubwa ya anasa na misafara ya kijinga kabisa utadhani tupo vitani
 
Wapumbavu, upumbavu ni kipaji unakuta mtu amebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi wake, a.k.a kujizima data
Hawezi tekeleza sababu kila mtu anafanya kazi kwa maelekezo ya boss, nchi inaendeshwa kwa maono ya Rais na siyo kwa utalaamu
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Kwa nini wasijue? Wewe Huwa unalishwa na Trump?
 
Samia suluhu amekuwa akipewa udaktari wa heshima kila uchwao, sasa ni wakati wake wa kuonesha ana uwezo wa kuendesha nchi kwa kutumia resources zetu pasipo kutegemea mbereko za wazungu na wachina.
 
Mimi binafsi kwenye jambo lolote la kitaifa siweki udini au uchama.

Kiongozi akifanya vizuri nitampa pongezi zake lakini siwezi kugeuka kuwa mtumwa wa mtu. Never

Sitakuwa mtumwa wa mwanasiasa yeyote mpaka nitakufa.

Tulipiga kelele humu inakuwaje mtu unamsifia Rais huku mpaka vyoo vya shule vinajengwa kwa pesa za msaada ?

Bajeti yetu tunayosomewa na akina Mwigulu ni bajeti hewa, maana unapanga bajeti huku pesa huna. Ikitokea jambo la kutikisa Dunia bajeti inafail kwa 80%.

Tuna rasilimali nyingi hata kuzitaja naona uvivu lakini serikali ya CCM ambayo Watanzania wachache wamejitoa akili kuisifia kila asubuhi, mchana, jioni na usiku imeshindwa kuzitumia badala yake nchi inaishi kwa misaada.

Hii miezi 3 ya mapitio ya misaada ya Marekani ni pigo kubwa sana kwa wananchi mafukara maana ndio waathirika wakubwa.

Huenda hali ya maisha ya Watanzania ikabadilika zaidi na kuwa duni maana Trump ni kama amechomoa betri bila taarifa.
Na bado Choice Variables anajiandaa kutoa post ya kumsifia mama soon
 
Kudos kwa Trump. Haya mambo yalipaswa kufanyika tangu miaka mingi, sasa tungekuwa na akili. Utasaidiaje watu wenye hela nyingi mpaka wanaweza kulipa millions kwa kila goli linalofungwa kwenye mechi ya mpira?
 
Haya tunasubiri chawa waje kuanza kusema hawa mabeberu wazuie misaada ya kibeberu.

Ukiongoza kwa kuwasikiliza machawa unakutana na Donald Trump, muende mkaombe misaada Urusi wao siyo mabeberu bloody goodmorning
 
Back
Top Bottom